Wanawake mtambue mwanaume kuvumilia usaliti ni 1 kati ya 10 chezeni kwa step

Mimi niseme tu ni kweli usaliti wa mwanamke hauvumiliki ni tofaut na mwanaume hiyo iko hivyo tangu kuumbwa kwa ulimwengu na hatuwezi libadilisha hilo.

Ila kitu kimoja nanyi wanaume mnajisahau sana jaribuni kutuheshim wake zenu maana tunajua dhahiri kuwa mnachepuka lakini msituonyeshe tafadhali fanyeni kwa akili na heshima,usipigiwe simu usiku,usitumiwe msg usiku,ukitumiwa picha futa,,hiyo simu yako ni yangu pia vipi nikishika nikakuta picha za ajabu za wanawake wengine?it hurts more.

Tambueni kwamba hakuna mwanamke mwenye akili timamu atachepuka endapo anatimiziwa kila mahitaji muhimu toka kwa mumewe na heshima anaipata wakati mwingine wanaume mnasababisha usaliti na mnajijua hamuwezi vumilia usaliti.

Nasi wanawake tuombe Mungu atupe uvumilivu na hekima ya kuhandle shida na namna sahihi ya kuzitatua
Umeongea kiutu uzima sana shem

Balimi unatumia nikuagizie moja
 
Kama ilivyo kwa wanaume Mahondaw pia ni lazima mtambue saikolojia ya mwanaume. Sisi hatuendeshwi na "emotions " kama nyie sisi tunaendeshwa na "logic"

Nilikuwa nasoma mahali yule dada aliuwawa mkuranga juzi na mpenziwe maoni ya wanawake wengi wanasikitika sana na kuona ni kitendo cha kinyama Sana amefanyiwa wakati kosa lake ni dogo tu la kucheat. Lakini kama umefuatilia yule mwanaume alipoulizwa pale kwenye tukio alijibu bila wasiwasi kwamba na yeye ana moyo wa nyama. Najaribu kuwaeleza haya wanawake ili mtambue saikolojia ya mwanaume linapokuja suala la udanganyifu katika mapenzi.

kweli kabisa mkuu ila nilisemea kwenye mioyo ya uvumilivu na kusamehe.. wanawake mara nyingi tunasamehe na kusahau ila upande wenu majority katika kusamehe mhmh....

cc Smart911
 
Mimi niseme tu ni kweli usaliti wa mwanamke hauvumiliki ni tofaut na mwanaume hiyo iko hivyo tangu kuumbwa kwa ulimwengu na hatuwezi libadilisha hilo.

Ila kitu kimoja nanyi wanaume mnajisahau sana jaribuni kutuheshim wake zenu maana tunajua dhahiri kuwa mnachepuka lakini msituonyeshe tafadhali fanyeni kwa akili na heshima,usipigiwe simu usiku,usitumiwe msg usiku,ukitumiwa picha futa,,hiyo simu yako ni yangu pia vipi nikishika nikakuta picha za ajabu za wanawake wengine?it hurts more.

Tambueni kwamba hakuna mwanamke mwenye akili timamu atachepuka endapo anatimiziwa kila mahitaji muhimu toka kwa mumewe na heshima anaipata wakati mwingine wanaume mnasababisha usaliti na mnajijua hamuwezi vumilia usaliti.

Nasi wanawake tuombe Mungu atupe uvumilivu na hekima ya kuhandle shida na namna sahihi ya kuzitatua
Bora umeujua ukweli na ndo maana hata vitabu vya dini vimetuasa wanaume tuishi na wake zetu kwa akili
 
kweli kabisa mkuu ila nilisemea kwenye mioyo ya uvumilivu na kusamehe.. wanawake mara nyingi tunasamehe na kusahau ila upande wenu majority katika kusamehe mhmh....

cc Smart911
Hii inatawaliwa zaidi na nature, wanaume tupo tofauti sana na wanawake. Ninyi mara nyingi huwa mnasamehe tofauti na sisi kusamehe mke aliyeto.mbesha nje ya ndoa huwa tuko wagumu mno!
 
Back
Top Bottom