Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
KabisaHuu ukweli utachukua muda mrefu sana kueleweka. Hatua zisipochukuliwa mapema tutarajie kuendelea kusikia mauaji ya design hii.
Kukubali ujinga ndio mtihani wenyewe sheikh wangu.Kukubali ujinga na kushindwa ni best way ya kucontrol emotion!
TOFAUTI YOYOTE KWENYE MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA NDOA KUKUBALI UJINGA NA KUSHINDWA NDIO NJIA SAHIHI!
AWE ME AU KE!!!
Kuna mambo mengine kuvumilia inataka uwe na ujasiri wa ziada mkuu. Kusikia mke wako analiwa si jambo dogo eti.Uvumilivu ziro.
Na ukubwa pia halina mkuu. Kabla hujatenda tafakari kidogo haya.Kuna mambo mengine kuvumilia inataka uwe na ujasiri wa ziada mkuu. Kusikia mke wako analiwa si jambo dogo eti.
Mkuu unadhani wanaochukua hatua za kuuwa hawatafakari. Hapa ni kuomba hekima za kimunguNa ukubwa pia halina mkuu. Kabla hujatenda tafakari kidogo haya.
Ulimtoa wapi
Ulimkutaje
Wewe ni msafi kiasi gani
Umekidhi matarajio yake
Amekidhi matarajio yako.
Kuna maisha bila yeye ?kama yapo yatakuwa vipi.
Baada ya hapo chukua hatua.
Hahahahahhaah [emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji23]Pengine ushawahi kuisikia hii stori.
Kuna mmakonde mkewe alikua malaya sana jamaa akipita mtaani ananyooshewa vidole.
Siku hiyo anarudi nyumbani akakutana na watoto wa shule ya msingi wakisimulia kua wamempiga fiesta mke wa jamaa.
Jamaa akafika nyumbani kwa ghadhabu anamwambia mkewe "Iyeee kukitembeza ntaa njima umeona haitochi umewapelekea mpaka watoto baah, nitafungulia n'jiki chidi mia chaba na mimi nigawe nkundu ntaa wote huu...halafu tuwaulije nani ntamu"
Ni wachache Sana wanaweza kujizuia na ghadhabu mkuuAlways a man is conquerer sasa unapoona himaya yako imekuwa conquered lazima uwazimu umtoke lakini control ya emotion zako ni muhimu sana kuliko kuua
Haswaaa.. wanawake wanatakiwa wajue kuwa mwanaume anafikiri in logic na wao wanafikiri kwa kutumia hisia.Ni wachache Sana wanaweza kujizuia na ghadhabu mkuu
Mr robert nimegundua kuwa wanawake wengi wanafikiri wadada wengi wanadhani kuwa wanavyowaza wao ndio wanaume wanawaza hivyo hivyo...Sijui nisemeje lakini kiuhalisia mwanaume ukijua kuwa mke wako au mpenzi anatembea na mwanaume mwingine akili inaruka na kuwa kama mwehu na kama utashindwa kujizuia kidogo unaweza kujikuta unafanya mauaji ya kutisha.
Nayasema haya kwasababu wanawake wamekuwa hawaelewi ni nini kinapelekea mtu kumuuwa mkewe au mpenzi wake kwa sababu tu ya wivu wa kimapenzi though hutokea pia kwa wanawake wachache kuwaua wapenzi wao.
Nachotaka kushauri kwa wanawake na wanaume ukiona uhusiano/ndoa imekushinda mweleze mwenzio muachane kwa amani msije kuacha watoto wadogo bila wazazi maana mmoja atafungwa maisha na mwengine atakuwa marehemu.