Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka kuumbwa kwa dunia ni hivyohivyo zamani kidogo kwenda kuolewa walikuwa wanalia sana.Shida inakuja hapa,wanawake wengi wa sasa hawataki kuolewa
Leo napenda kuwatonya wanawake kuwa wawe Makini na wanaume kwa sababu zifuatazo.
Gazeti la Independent lilichapisha Ripoti iliyo tolewa na UN mwaka 2019.
Ripoti hiyo ilijumuisha idadi ya watu duniani na kufafanua kama ifuatavyo.
1- Ripoti ilionyesha kuna jumla ya watu Billion 7.8 duniani
•Wanawake wakiwa ni billion 5.6
•wanaume wakiwa ni billion 2.2
Gazeti hilo lilitoa Ripoti hiyo, hivyo Mimi hapa nashauri wanawake kuwa makini na hisia za wanaume sababu wanaume wapo wachache zaidi ya wanawake ikiwa mwanaume mmoja akiwa na mke mmoja basi wanawake billion 3.4 watakua single.
Pia si hayo tu na hao wanaume billion 2.2 si wote watakua na wake Kwa sababu zifuatazo.
1- >wanaume billion 1 washaoa tayari
2- >wanaume million 130 wako jela
3- >wanaume million 70 wanaugonjwa wa akili.
Hivyo Ripoti inaonyesha wanaume billion 1 ndio wamebaki hapo ambao wanaweza kupata wake, lakini bado si wote walio baki wanaweza kuoa tena kwa sababu zifuatazo
1- >50% ya wanaume hawana kazi
2- >3% ya wanaume ni mashoga
3- >5% ya wanaume ni makuhani wa kanisa Catholic
4- >10% ya wanaume ni ndugu wa karibu
5- >32% ya wanaume ni wazee(wenye zaidi ya miaka 66).
Hivyo wanawake kwa wote walio olewa na ambao hawajaolewa mwapaswa kumujali mwanaume maana tupo wachache sana.
Makala hii imeandaliwa na kuchambuliwa na mimi mwana JF mtukutu Emmanuel Kasomi kwa msaada wa Ripoti ya Gazeti la Independent na UN.
Kasomi TV
Kama ni hivyo kwann wanawake wawe na zaidi ya mwanaume mmoja kitu ambacho upelekea kuachwa na yule wa kwanza, na kwann wanaume upata taabu sana kumpata mwenza? mfano tafta mwanake wa kuoa sasaiv kila mwanamke atakwambia ana wake anasubiri tu atoke masomoni tufunge ndoa, labda uchumbie wa kidacho cha pili au chekechea.wakishazidi hapo ni shida tupu.
Halafu..Yaani harafu huku tukiwa tunalinga
Kidunia wanaume ni wengi kidogoKwa Tanzania tofauti sio kubwa ki vile ndiyo maana upungufu wa wanaume hauonekani, hiyo takwimu ni ya kidunia, wadada wakitanzania msihofu
Unafaidika nini kupost fake news?.Yaani naona wanawake hapa hawataki kuja kusema neno.
Inatakiwa tuwaite
Walokoke walio serious kwenda mbinguni pia umewasahauApo bado wapiga nyeto,madomo zege, walemavu