Wanawake muwe makini wanaume ni wachache sana

[emoji23][emoji23][emoji23],Wewe utakuwa ni mwenyeji wa mkoa wa Kagera.
Ningeandika ulanzi(ulaasi)ungejua muhehe?
Ningeandika kayoga ungejua nimetoka kijijini Kumshindwi Kigoma?
Ningeandika wanzuki ungedhani nimetoka Kipalapala au Ndevelwa Tabora au Rukwa?
Ningeandika mtukuru na kindi ungedhani nimetoka Singida au Dodoma?
Au ningeandika boha ungedhani nimetoka Pwani au Tanga?😝😝😝😝😝😝😝
 
Ubaya unakuja pale ambapo mwanaume mmoja mwenye hela anatongoza wanawake 6!

Tunapigwa hapo, ili tafiti iwe na nguvu wanaume tusitongoze kabisa tuweke misimamo.
 
Ndio maana wengine wanakuwa masister,wengine wanaume mashoga
Lakini masister ni wachache pia
Hivyo inapaswa walau kila mwanae awe na wanawake wawili ili kubalance uwiano.
 
Ubaya unakuja pale ambapo mwanaume mmoja mwenye hela anatongoza wanawake 6!

Tunapigwa hapo, ili tafiti iwe na nguvu wanaume tusitongoze kabisa tuweke misimamo.
🤣🤣🤣 Ngoja tuanzishe mugomo wa kutongoza ili waamini hili.
 
Hahahah kwa hiki kicheko huenda kuna kundi dogo ambalo watajibidiisha kula nyex huku wengi wetu tukiunga mkono juhudi kinafiki😅
 
Dah hatari sana lazima wawepo watakao jichukulia Sheria mikononi.
 
Ningeandika ulanzi(ulaasi)ungejua muhehe?
Ningeandika kayoga ungejua nimetoka kijijini Kumshindwi Kigoma?
Ningeandika wanzuki ungedhani nimetoka Kipalapala au Ndevelwa Tabora au Rukwa?
Ningeandika mtukuru na kindi ungedhani nimetoka Singida au Dodoma?
Au ningeandika boha ungedhani nimetoka Pwani au Tanga?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Ndio hivyo Mkuu.
 
Ubaya unakuja pale ambapo mwanaume mmoja mwenye hela anatongoza wanawake 6!

Tunapigwa hapo, ili tafiti iwe na nguvu wanaume tusitongoze kabisa tuweke misimamo.
Mhhhh!!!!, Wanawake wengi sana wataenda kwa Waganga wa kienyeji na wengine watajinyonga.
 
Shida inakuja hapa, wanawake wengi wa sasa hawataki kuolewa
[emoji1787]sizitaki mbichi hizi
download-12.jpg
 
Back
Top Bottom