Leo napenda kuwatonya wanawake kuwa wawe Makini na wanaume kwa sababu zifuatazo.
Gazeti la Independent lilichapisha Ripoti iliyo tolewa na UN mwaka 2019.
Ripoti hiyo ilijumuisha idadi ya watu duniani na kufafanua kama ifuatavyo.
1- Ripoti ilionyesha kuna jumla ya watu
Billion 7.8 duniani
•
Wanawake wakiwa ni billion 5.6
•wanaume wakiwa ni billion 2.2
Gazeti hilo lilitoa Ripoti hiyo, hivyo Mimi hapa nashauri wanawake kuwa makini na hisia za wanaume sababu wanaume wapo wachache zaidi ya wanawake ikiwa mwanaume mmoja akiwa na mke mmoja basi wanawake
billion 3.4 watakua single.
Pia si hayo tu na hao wanaume
billion 2.2 si wote watakua na wake Kwa sababu zifuatazo.
1- >wanaume billion 1 washaoa tayari
2- >wanaume million 130 wako jela
3- >wanaume million 70 wanaugonjwa wa akili.
Hivyo Ripoti inaonyesha wanaume
billion 1 ndio wamebaki hapo ambao wanaweza kupata wake, lakini bado si wote walio baki wanaweza kuoa tena kwa sababu zifuatazo
1- >50% ya wanaume hawana kazi
2- >3% ya wanaume ni mashoga
3- >5% ya wanaume ni makuhani wa kanisa Catholic
4- >10% ya wanaume ni ndugu wa karibu
5- >32% ya wanaume ni wazee(wenye zaidi ya miaka 66).
Hivyo wanawake kwa wote walio olewa na ambao hawajaolewa mwapaswa kumujali mwanaume maana tupo wachache sana.
Makala hii imeandaliwa na kuchambuliwa na mimi mwana JF mtukutu
Emmanuel Kasomi kwa msaada wa Ripoti ya Gazeti la Independent na UN.
Kasomi TV