Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #101
Sijui mi wa kawaida tuHahahaha, hakuzidi sio ?
Bora hata wa samahani,,sasa mtu akivaa wigi picha inarushwa,akipaka lipstik picha inarushwa jamaniInashangaza sana aisee mtu anarusha tu mipicha yake sijui nani kasema anaitaka. Pia kuna wale wa 'samahani nimekosea kuna sehemu nilikuwa narusha'
Sijui mi wa kawaida tu
Huyo mwanaume ni zoba unless otherwise kaishatengenezwaKuna mmoja alikuwa anapenda huyo kurusha picha halafu na mumewe yupo kwenye grouo nikawa najisemea wanawake wengine wamebahatika kupata wanaume waelewa..
HapanaHivi Avatar hiyo ni wewe Mwenyewe?.
Hahahaha, mie najuaga ni wewe ,ila mtakua mmefanania na huyo ktk avatarHapana
Weee niwe kazuri hivyo niringe mimi nna sura private[emoji23][emoji23]Hahahaha, mie najuaga ni wewe ,ila mtakua mmefanania na huyo ktk avatar
Weee niwe kazuri hivyo niringe mimi nna sura private[emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂ndio nimekoseaInashangaza sana aisee mtu anarusha tu mipicha yake sijui nani kasema anaitaka. Pia kuna wale wa 'samahani nimekosea kuna sehemu nilikuwa narusha'
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio nimekosea
Mi sura private kabisa ndio nimebanana kwa g wanguHahahaha, we huwezi kuwa na sura pasonoo bana ,we unaonekana mrembo kabisa
Acha zako wewe... mi yamenisaidia kuwatafuma mademu kibao nliotaka kuwatafuna enzi hizo lakini nikashindwa sababu ya ukata...Isingekua group la kazini nahisi nisingekua na group lenye mchanganyiko wa jinsia!!
Magroup ya watu waliosoma pamoja shule ya msingi, sekondari na vyuo mengi naona yanapelekea watu kufanya uhuni tu
Mmmh, kwa sifa nilizozisoma za G ktk ule Uzi kuleeeee,inaonekana wote mko vzr km Mr & Mrs SmithMi sura private kabisa ndio nimebanana kwa g wangu
[emoji6][emoji6] tunapendezeana sana tu ,sanaaaaMmmh, kwa sifa nilizozisoma za G ktk ule Uzi kuleeeee,inaonekana wote mko vzr km Mr & Mrs Smith
Hahahaha, maandishi tu yanaonesha hivyo,hongera Sana[emoji6][emoji6] tunapendezeana sana tu ,sanaaaa