Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa vijana tunakuwa tumerahisishiwa kaziExactly
Rafiki kwa hiyo wana nyege?
Kumbe ndio maana ni super womenMimi Sina group hata moja na Huwa siyapendi kabisa
Nyege zi ahahajSasa unafikiri wanatafuta nini kama siyo madushe?!
Upo hornetMmmh hilo neno nikiliona nawaza basata
Halafu wanaziedit wanaume wanasifiaje!!
Mmmh magroup haya!
TB Joshua anahitajika. Hilo ni pepo (in mkandamizaj voiceMbaya zaidi wengine ni wake za watu...hv nyie wanawake mna nn hasa kinachowasumbua ???
Tunapenda sana sifa na kusifiwa nadhaniMbaya zaidi wengine ni wake za watu...hv nyie wanawake mna nn hasa kinachowasumbua ???
PachuchiNi ujinga. Ila bila shaka wana lengo la kufanya hivyo.
Wewe malengo yako kwenye group ni tofauti na ya wengine dear,
Hapo anatangaza biashara yake huwezi jua.
😛Tunapenda sana sifa na kusifiwa nadhani
uko sawa kabisa mkuu maombi yanahitajikaTB Joshua anahitajika. Hilo ni pepo (in mkandamizaj voice
Wanaume na nyie hata kukaza hamuwezi😛
ndio kinachowaponza hicho
Sio wakazi wa tabata haoYaan acha tu hao wadada siwajui lakin mpaka nimewakariri aisee kila nikifuta naona pic zao nikionana nao njiani sitopata tabu kuwajua [emoji23][emoji23][emoji23]
Nawe una group wadada wanarusha sana picha zao?Sio wakazi wa tabata hao
Nilikuwa nayo kazaa ila kwa sasa nimefuta WhatsApp yenyewe kuna wadada wa tabata aisee mpaka kero na sinza wengine ni wa magomeni na kinondoni ni fujo tuNawe una group wadada wanarusha sana picha zao?