Wanawake na magroup ya WhatsApp

Wanawake na magroup ya WhatsApp

Mbaya zaidi wengine ni wake za watu...hv nyie wanawake mna nn hasa kinachowasumbua ???
 
Ni ujinga. Ila bila shaka wana lengo la kufanya hivyo.
Wewe malengo yako kwenye group ni tofauti na ya wengine dear,
Hapo anatangaza biashara yake huwezi jua.
Pachuchi
 
Nasemaje Mungu ashukuriwe kwa kuumba wanawake wengi kuliko wanaume.
Mtahangaika sana kudadeki.
 
Back
Top Bottom