Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #41
Ni kawaida mtu kurusha picha zake nyingi ,ili iweje?Hakuna mahali penye unafki hapa Tz kama kwenye ma group ya watsap. Kwenye hayo makundi kila member ni mkamilifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kawaida mtu kurusha picha zake nyingi ,ili iweje?Hakuna mahali penye unafki hapa Tz kama kwenye ma group ya watsap. Kwenye hayo makundi kila member ni mkamilifu.
Walikuwa wanafanyajeNilikuwa nayo kazaa ila kwa sasa nimefuta WhatsApp yenyewe kuna wadada wa tabata aisee mpaka kero na sinza wengine ni wa magomeni na kinondoni ni fujo tu
Walikuwa wanafanyaje
Wanawake bhana
Unaweza kukuta chanzo cha huu uzi kuna dada katusha picha zake kwny grp huko kapendeza basi mwenzie kaja kumsema huku
Kukazaa.. Yani kukazaje em fafanuaWanaume na nyie hata kukaza hamuwezi
Hahahahahaha ndio nami nasemea jaman mpaka keroPicha mpaka kero kila akibadilisha nguo picha sita na zaid akila picha akilala picha sasa muendelezo wake ndio ukawa unashawishi zaid
HahahahahaUnaweza kukuta chanzo cha huu uzi kuna dada katusha picha zake kwny grp huko kapendeza basi mwenzie kaja kumsema huku
Ni ujinga. Ila bila shaka wana lengo la kufanya hivyo.
Wewe malengo yako kwenye group ni tofauti na ya wengine dear,
Hapo anatangaza biashara yake huwezi jua.
sawaBiashara matangazo mama
Soma comment mkuu ujionee mwenyewemaajabu ya humu sasa kuna wanawake watajidai hawana magrupu
Isingekua group la kazini nahisi nisingekua na group lenye mchanganyiko wa jinsia!!
Magroup ya watu waliosoma pamoja shule ya msingi, sekondari na vyuo mengi naona yanapelekea watu kufanya uhuni tu
Utajiunga vipi kwenye group la watu uliosoma nao primary au o level?
maajabu ya humu sasa kuna wanawake watajidai hawana magrupu
Daaah hapa umeamua kutupiga za uso kabisa, kwamba hatuwezi kukaza, sure? Hebu tutake radhi bwana!Wanaume na nyie hata kukaza hamuwezi