Wanawake na magroup ya WhatsApp

Wanawake na magroup ya WhatsApp

Inashangaza sana aisee mtu anarusha tu mipicha yake sijui nani kasema anaitaka. Pia kuna wale wa 'samahani nimekosea kuna sehemu nilikuwa narusha'
Bora hata wa samahani,,sasa mtu akivaa wigi picha inarushwa,akipaka lipstik picha inarushwa jamani
 
Haha au umejipodoa upo chuo kikuu cha mlimani city
 
Isingekua group la kazini nahisi nisingekua na group lenye mchanganyiko wa jinsia!!

Magroup ya watu waliosoma pamoja shule ya msingi, sekondari na vyuo mengi naona yanapelekea watu kufanya uhuni tu
Acha zako wewe... mi yamenisaidia kuwatafuma mademu kibao nliotaka kuwatafuna enzi hizo lakini nikashindwa sababu ya ukata...
 
Back
Top Bottom