Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
wengine wake za watu mkuu ila alikuwa very simple. Nazimikaga na Ke wakawaida sana.Ungeshuka nae kaka 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wengine wake za watu mkuu ila alikuwa very simple. Nazimikaga na Ke wakawaida sana.Ungeshuka nae kaka 😂😂😂
Yeah🙄
Wanatusingizia.
wewe kwa "umalaya" wako unakuwa ume-direct your mind towards that filthy thinking!Zamani ilikua wanaume ndo tunajisogeza na kusimama nyuma ya wanawake ili tu kugusa makalio yao na sehemu zetu za siri na kuna wanaume ambao walikua wanamaliza kabisa haja zao palepale wakati amesimama nyuma ya mwanamke.
Siku hizi mambo yamekua vice versa ambapo mfano kwenye mabasi ya Mwendokasi mwanamke anaweza ingia ndani na kuna sehemu kubwa tu ya kusimama bila kubanana lakini utashangaa anasimama mbele yako huku akisugua sugua makalio yake kwenye sehemu za siri za mwanaume.
Iliwahi nitokea hii, kuna siku mdada mmoja alipandia kituo cha njiani cha mwendokasi ila alipoingia tu akaniwekea makalio yake kwa mbele huku akijisugulisha makalio yake kwa mzee Abdallah kichwa wazi.
Nilikua nahitajidi sana kumkwepa na ilifika point nikamwambia dada samahani simama vizuri mana unanilalia ndo akasimama straight baada ya kujishtukia na kugundua kwamba mimi sio mzee wa zile pigo.
Nyumbani nina mke napata chululuu kila ninapohitaji isipokua tu zile siku ambazo mke wangu anaingia mwezini sasa ukijaribu kunishawishi kwa staili ile ni ngumu sana kushawishika, kuna wakati mwanamke anaweza hisi labda jogoo hapandi mtungi kumbe nyumbani una mke na sio mgeni wa papuchi.
Je wewe mdau ushawahi kutana na changamoto kama hii kwenye usafiri wa umma ?
Mwache Mvulana wa DarDaaaah,hili nalo ni la kuleta malalamiko humu?
Duuh
Unammwagia tu mkuu wangu hakuna namna.Mimi mzee.Huwa nasimama huku nimepinda mgongo.Hata binti/mwanamke akinisogezea zegembe lake hanipati ng'oo!
Joga tuHivi mnamalizaje mkiwa kwenye usafiri wa umma chuma imesimama ndi ndi unaanzaje kuendelea kugusisha, mimi hiyo naona ni ngumu sana huwa nakwepesha mshare usilenge kwenye ikweta zao, maaana nikujitesa tu na kufedheheshana tu unakuta hata hawajava nguo za ndani anajuegesha kwako ili tu ufili lile joto
Ahahahahahah umenikumbusha kipindi flan hiv nimekutana na shombe shombe la kibongo na kiarabu kwenye mwendokasi, yule manz kafanana na uwoya kishenzi, nikampa dakika kadhaa then nikamuomba namba, nikaona kama ana sita sita japo hana shida yuko charming tu ananijibu "no haiwezekani" lakin nilipomsoma zaidi ikawa kama ananipa sign flan hiv, kumbe kuna mwamba kashanipiga gap kasha occupy nafasi, mwamba akawa ananipiga jicho kishenzi na hawez kusema kitu maana nafanya alichofanya.. Na hapo ni baada ya kininyima namba kijanja kuwa atanipa next time tukikutana, akaona bora anitese saikolojikale.
Mimi ningepitiliza kituoZamani ilikua wanaume ndo tunajisogeza na kusimama nyuma ya wanawake ili tu kugusa makalio yao na sehemu zetu za siri na kuna wanaume ambao walikua wanamaliza kabisa haja zao palepale wakati amesimama nyuma ya mwanamke.
Siku hizi mambo yamekua vice versa ambapo mfano kwenye mabasi ya Mwendokasi mwanamke anaweza ingia ndani na kuna sehemu kubwa tu ya kusimama bila kubanana lakini utashangaa anasimama mbele yako huku akisugua sugua makalio yake kwenye sehemu za siri za mwanaume.
Iliwahi nitokea hii, kuna siku mdada mmoja alipandia kituo cha njiani cha mwendokasi ila alipoingia tu akaniwekea makalio yake kwa mbele huku akijisugulisha makalio yake kwa mzee Abdallah kichwa wazi.
Nilikua nahitajidi sana kumkwepa na ilifika point nikamwambia dada samahani simama vizuri mana unanilalia ndo akasimama straight baada ya kujishtukia na kugundua kwamba mimi sio mzee wa zile pigo.
Nyumbani nina mke napata chululuu kila ninapohitaji isipokua tu zile siku ambazo mke wangu anaingia mwezini sasa ukijaribu kunishawishi kwa staili ile ni ngumu sana kushawishika, kuna wakati mwanamke anaweza hisi labda jogoo hapandi mtungi kumbe nyumbani una mke na sio mgeni wa papuchi.
Je wewe mdau ushawahi kutana na changamoto kama hii kwenye usafiri wa umma ?
Shetwani ashindweNi changamoto mno. Upo zako kwenye usafiri umesimama unawaza maisha. Ghafla unasogezewa bonge la msambwanda, ukijisogeza na yeye ana sogeza, ukienda nyuma na yeye anaenda nyuma, ukienda pembeni na yeye hukohuko pembeni.
Mambo gani haya tunafanyiana? Huu ni unyanyasaji wa kijinsia! Serikali iingilie kati!
Tunatiana kwenye majaribu na vishawishi!
Kutiana upwiru bila sababu za msingi!