Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Wanaume wenzangu mnafeli wapi jamani.Tabia ya kutotowa mahitaji ya familia kwa wakati si kwamba huna ila uzembe tu eti kwakuwa unaishi na mkeo yupo ndani,fikiria unawatoto halo Lakini hujali unaenda kupeleka mahitaji kwa mchepuko tena kwa haraka.mkeo anaumwa hadi anazidiwa ndiyo unampeleka hospitali Lakini mchepuko akisema tu anajisikia vibaya ushamtumia hela akapime yani mchepuko hata mavazi amewaka.Labda wadada mchepuko mnatumia mbinu gani hadi mnapata mahitaji kwa wakati?wanaume anza vema nyumbani hata show piga hasa kwa mkeo siyo unajifanya mwamba nje unataka nani aje amridhishe mkeo?Au unataka mbadilishano wakati we unaenda kulala kwa mchepuko na lijamaa lije kukaza kwako hatimaye mwisho wa siku mchepuko kakuacha na nyumbani umexpai.Mwisho ninyi michepuko muwe na huruma.