chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Neno "MAMA" dunia nzima linavuma. Lissu anatembea nchi nzima akitukana "mama" kqtikati ya nchi yenye nyimbo za kumsifu mama. Katikati ya nchi ya watu wanasema waiolelewa na single mother baada ya kutelekezwa na baba zao.
Nani hajui mama na umuhimu wake? Kwa nini mama atukanwe na mtu anayetaka kuwa Rais? Akina mama mko wapi? Nani hana takwimu za ndoa kuvunjika na mama anqbaki kulea watoto ?.
Bajeti ya wizara ya afya itakuwaje mbele ya mtu anayetaka Urais, halafu anamtukana mwanamke kwa sababu tu Mungu alimbariki mtoto? Wanawake, mkizaa huwa mnatukanwa au mnaletewa sifa na zawadi? Lissu anataka kura za watanzania lakini anawatukana waliowazaa hao watu anaowaomba kura?
Lissu anamtukana mama aliyezaa watoto wa taifa hili, hatumsikii akimsengenya baba wa hao watoto wa huyo mama, kutwa kucha kumsengenya huyo mama. Kosa lake kuzaa watanzania? Ndio tuamini kwqmba mke wa Lissu alimkimbia kwa unyanyasaji? Kama mkewe tu kamkimbia, nyie ndio mnamwamini?