Wanawake nchi nzima wakiamka kutetea concept ya "MAMA" ambayo Lissu anaitukana kila siku, Lissu atahimili vishindo?

Hii nchi ni ya jinsia zote mbili, kwa nini utukane jinsia moja halafu unaomba ridhaa uitawale

..Samia anataka kuitwa Mama ili asikosolewe.

..ukimkosoa anakimbilia kusema umemtukana kwasababu yeye ni " mama. "
 
Acha uchawa kijana mwenye uelewa mdogo sana wewe!unakuja kutusumbua eboo!
 
Basi wanawake wasimpe kura, apewe na wanaume ambao hawasengenyi kwenye mikutano yake ya hadhara
Una akili mbovu sana wewe, kwann marais waliopita walikuwa hawang'ang'anii kuitwa Baba. Hoja zenu za Kichawa acheni kuzi publish. Wewe kila Mwanamke huko mtaani mwako huwa unamuita Mama. Acha akili za Kichawa chawa na Kujipendekeza. Akili za Watanganyika wengi zimekuwa kama zimechanganyikana na Oil chafu.
 
Bado hujasema
 
Hiyo ndiyo demokrasia Msigwa umefanya maamuzi sahihi sana.
 
Hao kina mama unaowasemea hawampendi kabisa huyo mama yako ambaye unamchawaia
 
Bikira maria kumbe nae ni mama yako mkuu,,,,mimi nilidhani ni mama yake Yesu….🌝
 
Neno "MAMA" dunia nzima linavuma. Lissu anatembea nchi nzima akitukana "mama" kqtikati ya nchi yenye nyimbo za kumsifu mama. Katikati ya nchi ya watu wanasema waiolelewa na single mother baada ya kutelekezwa na baba zao.

Nani hajui mama na umuhimu wake? Kwa nini mama atukanwe na mtu anayetaka kuwa Rais? Akina mama mko wapi? Nani hana takwimu za ndoa kuvunjika na mama anqbaki kulea watoto ?.

Bajeti ya wizara ya afya itakuwaje mbele ya mtu anayetaka Urais, halafu anamtukana mwanamke kwa sababu tu Mungu alimbariki mtoto? Wanawake, mkizaa huwa mnatukanwa au mnaletewa sifa na zawadi? Lissu anataka kura za watanzania lakini anawatukana waliowazaa hao watu anaowaomba kura?

Lissu anamtukana mama aliyezaa watoto wa taifa hili, hatumsikii akimsengenya baba wa hao watoto wa huyo mama, kutwa kucha kumsengenya huyo mama. Kosa lake kuzaa watanzania? Ndio tuamini kwqmba mke wa Lissu alimkimbia kwa unyanyasaji? Kama mkewe tu kamkimbia, nyie ndio mnamwamini?
Ninyi chawa mnachafua sana hali ya hewa,mnasikitisha sana.
Swala la mama/umama wa mtu linatambulika nyumbani kwake [kwa mume na watoto wake],pia kwenye jamii inayomzunguka.
Linapokuja swala la kitaifa [kiuongozi/utawala]tunamtambua RAIS,bila kujali jinsia yake.Acheni ujinga wa kumpambania kiongozi,kishabiki,kwa kigezo cha jinsia yake ili tu,kuficha/kutetea madhaifu yake.Tambua kuwa ''kiongozi mzuri'' hahitaji machawa ili kutangaza mazuri yake ya kiuongozi/utawala, isipokuwa HUJITANGAZA MWENYEWE kwa uwajibikaji wake wenye matokeo chanya kwa Taifa na kwa jamii/wananchi [usimamizi bora wa rasilimali za nchi na maisha bora kwa wananchi pamoja na uongozi bora [kuwajibika na kuwawajibisha watumishi ama wasaidizi wake wabadhilifu]
Acheni kupoteza muda wenu humu,hata kama mnalipwa kwa kuwa chawa,tambueni kuwa wananchi wanauelewa wa kutosha,wanajitambua na wanaona hali halisi ilivyo kiuongozi/utawala.
 
Sidhani kama ana akili yakukuelewa.
 
Hii nchi ni ya jinsia zote mbili, kwa nini utukane jinsia moja halafu unaomba ridhaa uitawale

..Lissu amemkosoa Samia Suluhu kama Raisi, hajamkosoa kama mwanamke, na hajamtukana.

..Kuna siku Lissu alisema Rais Samia ni MZANZIBARI, halafu Ccm wakalipuka kwamba Raisi ametukanwa.
 
Ukiwa ndani ya hizo nguo za mboga-mboga na akili nayo inakua kama mboga-mboga.
 
Back
Top Bottom