Wanawake NENDENI kwenye makambi ya wanawake wa kilokole mponye ndoa zenu

Ester505

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
793
Reaction score
1,049
Jamani bila kuchelewa NI hivi,siku HIZI unyago hakuna.
Ikiwepo siku moja,mbili.
Nawashauri,NENDENI kwenye makongamano ya wanawake wa kilokole jamani,Kuna Mambo kuhusu mahusiano mpaka ndoa yaaani NI πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nakwambia mabinti Wana masomo Yao,walioolewa Wana masomo Yao,wanawake walioachwa Wana masomo Yao.
Hakika Kama uko kwenye mahusiano na mtu ambaye umempendaaaa ,hakika KUMUACHA HADI KIAMA.
Y aani na maombi juuu.
Hata Kama hujui kuomba,utajua kumuombea mumeo na kuiombea πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†
Hakika Hata awe Kama MFALME Sulemani wake 700,michepuko 300,Hakika wewe UTAKUWA TOP.Hata aende wapiii,atarudiiii tuuuu.
Fanya yoteeee kwa Maombi.Mungu anaweza
 
"Ukiona mtu anakuitia fursa ujue wewe ndio fursa yenyewe" alisikika mpita njia mmoja..
 
Jamani bila kuchelewa NI hivi,siku HIZI unyago hakuna.
Ikiwepo siku moja,mbili.
Nawashauri,NENDENI kwenye makongamano ya wanawake wa kilokole jamani,Kuna Mambo kuhusu mahusiano mpaka ndoa yaaani NI [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nakwambia mabinti Wana masomo Yao,walioolewa Wana masomo Yao,wanawake walioachwa Wana masomo Yao.
Hakika Kama uko kwenye mahusiano na mtu ambaye umempendaaaa ,hakika KUMUACHA HADI KIAMA.
Y aani na maombi juuu.
Hata Kama hujui kuomba,utajua kumuombea mumeo na kuiombea [emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533][emoji533]
Hakika Hata awe Kama MFALME Sulemani wake 700,michepuko 300,Hakika wewe UTAKUWA TOP.Hata aende wapiii,atarudiiii tuuuu.
Fanya yoteeee kwa Maombi.Mungu anaweza
Fursa fursana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutafika Kwa Mungu tumechoka sana. Maombi Muhimu sana kwenye maisha.... Kuna movie inaitwa WAR ROOM hii movie naipenda sana... Kuna nguvu kwenye maombi ukiwa serious.
 
Back
Top Bottom