Ester505
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 793
- 1,049
Jamani bila kuchelewa NI hivi,siku HIZI unyago hakuna.
Ikiwepo siku moja,mbili.
Nawashauri,NENDENI kwenye makongamano ya wanawake wa kilokole jamani,Kuna Mambo kuhusu mahusiano mpaka ndoa yaaani NI π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Nakwambia mabinti Wana masomo Yao,walioolewa Wana masomo Yao,wanawake walioachwa Wana masomo Yao.
Hakika Kama uko kwenye mahusiano na mtu ambaye umempendaaaa ,hakika KUMUACHA HADI KIAMA.
Y aani na maombi juuu.
Hata Kama hujui kuomba,utajua kumuombea mumeo na kuiombea πππππππππππππππππππππππππππ
Hakika Hata awe Kama MFALME Sulemani wake 700,michepuko 300,Hakika wewe UTAKUWA TOP.Hata aende wapiii,atarudiiii tuuuu.
Fanya yoteeee kwa Maombi.Mungu anaweza