Wanawake, ni nini haswa mkitakacho?

Wanawake, ni nini haswa mkitakacho?

katika pita pita zangu leo humu MMU leo, nimeona vitu vya kushangaza sana..... kuna wanawake wanasema wanavutiwa na wanaume wenye mishipa mikononi[emoji23], wengine nimeona wanapenda kufokewa[emoji23] na hata mmoja nimeona anasema anataka mwanaume asiye na ndevu kabisa[emoji23].....

sasa kina dada naomba mcomment vitu vyoote mnavovitaka kutoka kwa wanaume; wanaume tuchukue notes, inaonekana kabisa pesa na nguvu za kiume havitoshi[emoji23]

Focus on your purpose. Dont focuse kumuelewa mwanamke maana hutofanikiwa. Tafuta hela , mafanikio, muache aamue yeye aende na ww au asepe. Akienda si mbaya wako ambao watataka kwenda na ww
 
Mimi nilikuwa sipendi kabisa mwanamume mwenye ndevu ... Ila kwa sababu nyinginezo.... Nipo na Mwenye ndevu za kutoooosha😂😋

Nimezoea Sasa.... Ila huwa namkumbusha kwenda barber shop mara kwa Mara😩😂
Hata mimi nimeoa mwanamke ambae hakuwah kuwa na mwanaume mwenye ndevu na alikuwa hazipend kabisa,lakin alipokutana na mimi hatimae kazizoea na kazipenda mara nying huwa ananikumbusha nizichane maana kuna wakat nakuwa busy mpaka nakosa muda wa kunyoa

Na sasa anasema huwa zinamuongezea msisimko pia ninapomlamba shingon au kumbusu
 
katika pita pita zangu leo humu MMU leo, nimeona vitu vya kushangaza sana..... kuna wanawake wanasema wanavutiwa na wanaume wenye mishipa mikononi😂, wengine nimeona wanapenda kufokewa😂 na hata mmoja nimeona anasema anataka mwanaume asiye na ndevu kabisa😂.....

sasa kina dada naomba mcomment vitu vyoote mnavovitaka kutoka kwa wanaume; wanaume tuchukue notes, inaonekana kabisa pesa na nguvu za kiume havitoshi😂
Haramu yako halali kwa mwenzako
 
Mimi nilikuwa sipendi kabisa mwanamume mwenye ndevu ... Ila kwa sababu nyinginezo.... Nipo na Mwenye ndevu za kutoooosha😂😋

Nimezoea Sasa.... Ila huwa namkumbusha kwenda barber shop mara kwa Mara😩😂
.... na wenye hela?

#YNWA
 
Back
Top Bottom