Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Sawa, maisha ni kupanda na kushuka,ila huyo dogo noma sana,hafai na pia huyo mwanamke hafai hata kuwa mama mkwe.1. Kwa wasio mjua MABESTE, alikua msanii wa MZIKI bongo fleva miaka hiyo. Moja ya hit song yake kubwa Kwa wakati, sirudi TENA. Anaimba nakimbiza chapa ZANGU kila saa, kwenye dhiki sirudi te TENA na TENA na TENA tena tena.
2. PICHA linaanza baada ya kumuoa dada Mmoja aitwae lita, inasemekana alikua video queen, walijaaliwa kupata mtoto wa kiume.
3. Ghafla lita akapata matatatizo ya kiafya, alikutwa na saratani, hivyo ikahitajika gharama kumtibu.
4. Hicho ni kipindi ambacho mabeste alitaka kuchanganyikiwa hususani Kwa miaka hiyo, gharama zilikua juu ye mwenyewe hakua amejipata kivile.
5. Jamaa hakumtupa demu, wakaanza kuhangaika, huku mara kule, pesa ikakata.
6. Kwa sababu mabeste alikua msanii, akawapanga wana, kama vipi waandae show alafu mauzo yote apewe mwana ili yamsaidie kumtibu mkewe wa ndoa, MANA lita alikua mke halali na walifunga ndoa tena kipindi mabeste akiwa hot, ni jinsi GANI bro alikua na future kaacha ukapela tena enzi hizo kajala wema aun uwoya wako form, mshikaji kawategea kidogo akaona zake.
7. MUNGU si athumani lita akapona kansa, shukran Kwa wana kumshikia mkono mwana na familia yake kama mnavo jua ugumu wa kuuguza una chacha fasta usishangae wakina marehemu ruge kuomba mchango wakina mkubwa fela bro kuuguza ni noma.
8. Mabeste alikua na rafiki yake wa damu ye alimtambulisha kama mdogo wake, asee kumbe dogo akaanza kumginga mkewe, mabeste hajui ye anachukulia ni mtu na shemeji yake kumbe mwana ana mzunguka.
9.demu akaona ili awe huru akitangaza rasmi kuachana na mabeste na kumtambulisha huyo dogo wa pembeni, ambae alikua rafiki yake na mumewe,
10. Mabeste aka loose mpaka hapo jamaa akawa cha pombe, uchungu sana kila akifikiria mtu alie MUONA kama mdogo wake kamvunjia familia, kamgongea mkewe, inauma sana mnajua, yani mke kabisa tena kavunja na ndoa na kampeleka kwenye vyombo vya Sheria juu weee.
11. Wana wanafiki wakawa wanachekea chini, wanamcheka mabeste huyooooooo aliwahi kuoaa tulimkanya haaaaaaaaa, mara ghafla wana wakashtuka mchizi anapotea.
12. Mapaparazi na wasanii ikavija video ikimuonesha mabeste kalewa chakali, Yuko kwenye boxer tu, kakonda ka muathirika wa ukimwi ikasemekena super star hana makazi ana lala nje daaaah. NADHANI maumivu baada ya kushikia dogo kamuoa kabisa mkewe na ujauzito juu.
13. Wana wakajitisha kuokoa jahazi, simu zika pigwa kila Kona huyu aje na huyu aje oyaaa hii inshu serious mjue, mambo si mambo.
14. Harakati za kumsevu mwamba zikaanza, watu walitoboka hasa sijui ni wakina nani, mwisho ukaishia hapo.
15. Leo ndo naona jamaa anajipost huko mwili umerudi Yuko ulaya siku hizi na Alisha oa nadhani jamaa atakumbuka hili tukio mpaka anazikwa.
Dunia haimuhurumi mwanaume na Huwa haimpi nafasi ya kujiteteaInasikitisha sana
Msanii ni brandMwanamke alisema alimuacha mabestie sababu jamaa anapenda sana kulala kuliko kufanya kazi.
Kaka unadhani mabeste ange fanyaje, kuoa Hilo ni jambo la kheri, au unamnisha ange mkimbia demu kipindi kauguaUnajua tatizo lenu vijana mnabadirishana majukumu na wanawake wa siku hizi.
Mnakuwa na mihemuko na emotional sana kuzidi mwanamke mwenyewe
So kinachofatia ni kulia wanawake ni hatari, wanawake ni mashetani wakati ulitupilia mbali logic ukaamua kushindana nae hisia.
Wanawake ni irrational beings, sasa ikitokea mwanaume umebabaika sana na mwanamke kinachofatia ni wewe kutupilia mbali mantic ili kufatana mihemuko yake.
Wote ni viumbe hatari akiwamo wewe unayejumlisha kila kitu. Je, na mama yako yumo?1. Kwa wasio mjua MABESTE, alikua msanii wa MZIKI bongo fleva miaka hiyo. Moja ya hit song yake kubwa Kwa wakati, sirudi TENA. Anaimba nakimbiza chapa ZANGU kila saa, kwenye dhiki sirudi te TENA na TENA na TENA tena tena.
2. PICHA linaanza baada ya kumuoa dada Mmoja aitwae lita, inasemekana alikua video queen, walijaaliwa kupata mtoto wa kiume.
3. Ghafla lita akapata matatatizo ya kiafya, alikutwa na saratani, hivyo ikahitajika gharama kumtibu.
4. Hicho ni kipindi ambacho mabeste alitaka kuchanganyikiwa hususani Kwa miaka hiyo, gharama zilikua juu ye mwenyewe hakua amejipata kivile.
5. Jamaa hakumtupa demu, wakaanza kuhangaika, huku mara kule, pesa ikakata.
6. Kwa sababu mabeste alikua msanii, akawapanga wana, kama vipi waandae show alafu mauzo yote apewe mwana ili yamsaidie kumtibu mkewe wa ndoa, MANA lita alikua mke halali na walifunga ndoa tena kipindi mabeste akiwa hot, ni jinsi GANI bro alikua na future kaacha ukapela tena enzi hizo kajala wema aun uwoya wako form, mshikaji kawategea kidogo akaona zake.
View attachment 3641088View attachment 3641089
7. MUNGU si athumani lita akapona kansa, shukran Kwa wana kumshikia mkono mwana na familia yake kama mnavo jua ugumu wa kuuguza una chacha fasta usishangae wakina marehemu ruge kuomba mchango wakina mkubwa fela bro kuuguza ni noma.
8. Mabeste alikua na rafiki yake wa damu ye alimtambulisha kama mdogo wake, asee kumbe dogo akaanza kumginga mkewe, mabeste hajui ye anachukulia ni mtu na shemeji yake kumbe mwana ana mzunguka.
9.demu akaona ili awe huru akitangaza rasmi kuachana na mabeste na kumtambulisha huyo dogo wa pembeni, ambae alikua rafiki yake na mumewe,
10. Mabeste aka loose mpaka hapo jamaa akawa cha pombe, uchungu sana kila akifikiria mtu alie MUONA kama mdogo wake kamvunjia familia, kamgongea mkewe, inauma sana mnajua, yani mke kabisa tena kavunja na ndoa na kampeleka kwenye vyombo vya Sheria juu weee.
11. Wana wanafiki wakawa wanachekea chini, wanamcheka mabeste huyooooooo aliwahi kuoaa tulimkanya haaaaaaaaa, mara ghafla wana wakashtuka mchizi anapotea.
12. Mapaparazi na wasanii ikavija video ikimuonesha mabeste kalewa chakali, Yuko kwenye boxer tu, kakonda ka muathirika wa ukimwi ikasemekena super star hana makazi ana lala nje daaaah. NADHANI maumivu baada ya kushikia dogo kamuoa kabisa mkewe na ujauzito juu.
13. Wana wakajitisha kuokoa jahazi, simu zika pigwa kila Kona huyu aje na huyu aje oyaaa hii inshu serious mjue, mambo si mambo.
14. Harakati za kumsevu mwamba zikaanza, watu walitoboka hasa sijui ni wakina nani, mwisho ukaishia hapo.
15. Leo ndo naona jamaa anajipost huko mwili umerudi Yuko ulaya siku hizi na Alisha oa nadhani jamaa atakumbuka hili tukio mpaka anazikwa.
NADHANI watakuja watu kumsema, mi Sina hata nguvu za kutaka kumshikia tu acha kumsema hata KUMUONA sitakiUpande wa binti ukoje?
Isije ikapoaNgoja kwanza nimalizie konyagi yangu
Mabeste ana kwambia Kwa hisia, alikua anachukulia kama mdogo wake wa damu kumbeeeeSawa, maisha ni kupanda na kushuka,ila huyo dogo noma sana,hafai na pia huyo mwanamke hafai hata kuwa mama mkwe.
Bora kama mambo yamemnyookea mabeste,mkewe wa zamani anasemaje sasa hivi?Mabeste ana kwambia Kwa hisia, alikua anachukulia kama mdogo wake wa damu kumbeeee
Vijana wanavurugwa na mapenziIsije ikapoa