Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
- #21
Mbona jamaa hakumuacha kisa ni mgonjwaMsanii ni brand

Tatizo liko kwa Wanaume, wanawake hawana shidaUnajua tatizo lenu vijana mnabadirishana majukumu na wanawake wa siku hizi.
Mnakuwa na mihemuko na emotional sana kuzidi mwanamke mwenyewe
So kinachofatia ni kulia wanawake ni hatari, wanawake ni mashetani wakati ulitupilia mbali logic ukaamua kushindana nae hisia.
Wanawake ni irrational beings, sasa ikitokea mwanaume umebabaika sana na mwanamke kinachofatia ni wewe kutupilia mbali mantic ili kufatana mihemuko yake, ukianza kumzoea ndio unaanza kumuona kama mzigo lakini hapo unakuta ni too late.
MABESTE1. Kwa wasio mjua MABESTE, alikua msanii wa MZIKI bongo fleva miaka hiyo. Moja ya hit song yake kubwa Kwa wakati, sirudi TENA. Anaimba nakimbiza chapa ZANGU kila saa, kwenye dhiki sirudi te TENA na TENA na TENA tena tena.
2. PICHA linaanza baada ya kumuoa dada Mmoja aitwae lita, inasemekana alikua video queen, walijaaliwa kupata mtoto wa kiume.
3. Ghafla lita akapata matatatizo ya kiafya, alikutwa na saratani, hivyo ikahitajika gharama kumtibu.
4. Hicho ni kipindi ambacho mabeste alitaka kuchanganyikiwa hususani Kwa miaka hiyo, gharama zilikua juu ye mwenyewe hakua amejipata kivile.
5. Jamaa hakumtupa demu, wakaanza kuhangaika, huku mara kule, pesa ikakata.
6. Kwa sababu mabeste alikua msanii, akawapanga wana, kama vipi waandae show alafu mauzo yote apewe mwana ili yamsaidie kumtibu mkewe wa ndoa, MANA lita alikua mke halali na walifunga ndoa tena kipindi mabeste akiwa hot, ni jinsi GANI bro alikua na future kaacha ukapela tena enzi hizo kajala wema aun uwoya wako form, mshikaji kawategea kidogo akaona zake.
View attachment 3641088View attachment 3641089
7. MUNGU si athumani lita akapona kansa, shukran Kwa wana kumshikia mkono mwana na familia yake kama mnavo jua ugumu wa kuuguza una chacha fasta usishangae wakina marehemu ruge kuomba mchango wakina mkubwa fela bro kuuguza ni noma.
8. Mabeste alikua na rafiki yake wa damu ye alimtambulisha kama mdogo wake, asee kumbe dogo akaanza kumginga mkewe, mabeste hajui ye anachukulia ni mtu na shemeji yake kumbe mwana ana mzunguka.
9.demu akaona ili awe huru akitangaza rasmi kuachana na mabeste na kumtambulisha huyo dogo wa pembeni, ambae alikua rafiki yake na mumewe,
10. Mabeste aka loose mpaka hapo jamaa akawa cha pombe, uchungu sana kila akifikiria mtu alie MUONA kama mdogo wake kamvunjia familia, kamgongea mkewe, inauma sana mnajua, yani mke kabisa tena kavunja na ndoa na kampeleka kwenye vyombo vya Sheria juu weee.
11. Wana wanafiki wakawa wanachekea chini, wanamcheka mabeste huyooooooo aliwahi kuoaa tulimkanya haaaaaaaaa, mara ghafla wana wakashtuka mchizi anapotea.
12. Mapaparazi na wasanii ikavija video ikimuonesha mabeste kalewa chakali, Yuko kwenye boxer tu, kakonda ka muathirika wa ukimwi ikasemekena super star hana makazi ana lala nje daaaah. NADHANI maumivu baada ya kushikia dogo kamuoa kabisa mkewe na ujauzito juu.
13. Wana wakajitisha kuokoa jahazi, simu zika pigwa kila Kona huyu aje na huyu aje oyaaa hii inshu serious mjue, mambo si mambo.
14. Harakati za kumsevu mwamba zikaanza, watu walitoboka hasa sijui ni wakina nani, mwisho ukaishia hapo.
15. Leo ndo naona jamaa anajipost huko mwili umerudi Yuko ulaya siku hizi na Alisha oa nadhani jamaa atakumbuka hili tukio mpaka anazikwa.
Ata maandiko yanasema ishi nao kwa akiliMbona jamaa hakumuacha kisa ni mgonjwa
Wanapambana kuendana na kasi ya DuniaVijana wanavurugwa na mapenzi
Unakuta kijana miaka 25 kana pressure kisa mapenziWanapambana kuendana na kasi ya Dunia
Mama yangu alicho mfanyia baba yangu yaache tu mkuuWote ni viumbe hatari akiwamo wewe unayejumlisha kila kitu. Je, na mama yako yumo?
Kwahiyo, wakati anaumwa saratani, mwamba alikuwa anatoa wapi pesa?Mwanamke alisema alimuacha mabestie sababu jamaa anapenda sana kulala kuliko kufanya kazi.
Duh,13. Wana wakajitisha kuokoa jahazi, simu zika pigwa kila Kona huyu aje na huyu aje oyaaa hii inshu serious mjue, mambo si mambo.
Unaongelea ki ushabiki sana, kama dada alikua mpambanaji mbona pesa ya kumtibu ilopatikana Kwa michango tena ya washikaji zake mabeste kwenye show, bro mtu mvivu ndo utembee na rafiki yake? Kqnsa ya kipindi hicho unaichukulia poa, alafu kuhusu jina nimesahau ni Lisa au lita mana sija soma kokote nakala hapana, hapa nimetoa kichwani miaka hiyo bro ni popo haswa ndo mana Kuna baadhi ya mambo nimeyasahau sija soma popote elewa nimetoa kichwani Kwa kumbukumbu zanguHii story utakua umeiskia juu juu, hata jina la huyo dada sio lita ni Lisa fickenscher,
Ukweli ulioko nyuma ya pazia huyu dada ndo aliyetoa hela ya mahari kwa niaba ya mabeste ili tuu aolewe, tangu mwanzo mama ake hakua anataka aolewe na mabeste
Licha ya lisa kuumwa, lakini sababu kubwa iliyopelekea huyu dada akafanya maamuzi ya kutoka na rafiki wa mabeste ni sababu ya mabeste kusahau nafasi yake kama mwanaume, Huyu dada kama humjui unaweza ukamlaumu lakini ni mpambanaji sana, na inaonekana alimpenda mabeste kwa moyo wote ila baada ya kukaa naye akagundua mabeste ni aina ya wanaume wasiopenda kujishughulisha
Story ya mabeste kukutana na lisa ilianzia kwenye kazi zake huyu dada kama video vixen,
Hawa watu kiasi flani nawajua, tukisimama kwenye ukweli Mabeste ndo alizingua
Daah aise washukuriwe walo muokoa1. Kwa wasio mjua MABESTE, alikua msanii wa MZIKI bongo fleva miaka hiyo. Moja ya hit song yake kubwa Kwa wakati, sirudi TENA. Anaimba nakimbiza chapa ZANGU kila saa, kwenye dhiki sirudi te TENA na TENA na TENA tena tena.
2. PICHA linaanza baada ya kumuoa dada Mmoja aitwae lita, inasemekana alikua video queen, walijaaliwa kupata mtoto wa kiume.
3. Ghafla lita akapata matatatizo ya kiafya, alikutwa na saratani, hivyo ikahitajika gharama kumtibu.
4. Hicho ni kipindi ambacho mabeste alitaka kuchanganyikiwa hususani Kwa miaka hiyo, gharama zilikua juu ye mwenyewe hakua amejipata kivile.
5. Jamaa hakumtupa demu, wakaanza kuhangaika, huku mara kule, pesa ikakata.
6. Kwa sababu mabeste alikua msanii, akawapanga wana, kama vipi waandae show alafu mauzo yote apewe mwana ili yamsaidie kumtibu mkewe wa ndoa, MANA lita alikua mke halali na walifunga ndoa tena kipindi mabeste akiwa hot, ni jinsi GANI bro alikua na future kaacha ukapela tena enzi hizo kajala wema aun uwoya wako form, mshikaji kawategea kidogo akaona zake.
View attachment 3641088View attachment 3641089
7. MUNGU si athumani lita akapona kansa, shukran Kwa wana kumshikia mkono mwana na familia yake kama mnavo jua ugumu wa kuuguza una chacha fasta usishangae wakina marehemu ruge kuomba mchango wakina mkubwa fela bro kuuguza ni noma.
8. Mabeste alikua na rafiki yake wa damu ye alimtambulisha kama mdogo wake, asee kumbe dogo akaanza kumginga mkewe, mabeste hajui ye anachukulia ni mtu na shemeji yake kumbe mwana ana mzunguka.
9.demu akaona ili awe huru akitangaza rasmi kuachana na mabeste na kumtambulisha huyo dogo wa pembeni, ambae alikua rafiki yake na mumewe,
10. Mabeste aka loose mpaka hapo jamaa akawa cha pombe, uchungu sana kila akifikiria mtu alie MUONA kama mdogo wake kamvunjia familia, kamgongea mkewe, inauma sana mnajua, yani mke kabisa tena kavunja na ndoa na kampeleka kwenye vyombo vya Sheria juu weee.
11. Wana wanafiki wakawa wanachekea chini, wanamcheka mabeste huyooooooo aliwahi kuoaa tulimkanya haaaaaaaaa, mara ghafla wana wakashtuka mchizi anapotea.
12. Mapaparazi na wasanii ikavija video ikimuonesha mabeste kalewa chakali, Yuko kwenye boxer tu, kakonda ka muathirika wa ukimwi ikasemekena super star hana makazi ana lala nje daaaah. NADHANI maumivu baada ya kushikia dogo kamuoa kabisa mkewe na ujauzito juu.
13. Wana wakajitisha kuokoa jahazi, simu zika pigwa kila Kona huyu aje na huyu aje oyaaa hii inshu serious mjue, mambo si mambo.
14. Harakati za kumsevu mwamba zikaanza, watu walitoboka hasa sijui ni wakina nani, mwisho ukaishia hapo.
15. Leo ndo naona jamaa anajipost huko mwili umerudi Yuko ulaya siku hizi na Alisha oa nadhani jamaa atakumbuka hili tukio mpaka anazikwa.
Wanawake huwa mnapenda kupindisha sana stori jamaa kampigania huyo demu mpaka anapona saratanMwanamke alisema alimuacha mabestie sababu jamaa anapenda sana kulala kuliko kufanya kazi.
Kwahiyo akaamua kumlipa kwa kutembea na rafiki yake?Hii story utakua umeiskia juu juu, hata jina la huyo dada sio lita ni Lisa fickenscher,