Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

Wanawake huwa mnapenda kupindisha sana stori jamaa kampigania huyo demu mpaka anapona saratan
Sababu ya kijinga sana hiyo eti ana penda kulala, kwani demu hakujua ana olewa na msanii? Msanii ana Linda brand yake, hawezi tembea hivyo we unasema ana lala, haya ye mchakalokaji mbona hata hela ya matibabu alikosa
 
Unaongelea ki ushabiki sana, kama dada alikua mpambanaji mbona pesa ya kumtibu ilopatikana Kwa michango tena ya washikaji zake mabeste kwenye show, bro mtu mvivu ndo utembee na rafiki yake? Kqnsa ya kipindi hicho unaichukulia poa, alafu kuhusu jina nimesahau ni Lisa au lita mana sija soma kokote nakla hapana hapa nimetoa kichwani miaka hiyo bro ni popo haswa ndo mana Kuna baadhi ya mambo nimeyasahau sija soma popote elewa nimetoa kichwani Kwa kumbukumbu zangu
Mkuu sijaongelea kiushabiki nimeweka hisia pembeni, nimesimama kwenye ukweli, story ya lisa kuumwa mpaka inafikia hatua ya mabeste kufanya charity, hii ni story ya mbele, mimi nimekurudisha nyuma kabla ya lisa kuumwa, unajua maisha yao yalikuaje?
 
Wanawake ni irrational beings, sasa ikitokea mwanaume umebabaika sana na mwanamke kinachofatia ni wewe kutupilia mbali mantic ili kufatana mihemuko yake, ukianza kumzoea ndio unaanza kumuona kama mzigo lakini hapo unakuta ni too late.
Ni kuacha ku invest emotions tu ndo dawa. Ukiwa soo attached unaishia kuumizwa
 
Sababu ya kijinga sana hiyo eti ana penda kulala, kwani demu hakujua ana olewa na msanii? Msanii ana Linda brand yake, hawezi tembea hivyo we unasema ana lala, haya ye mchakalokaji mbona hata hela ya matibabu alikosa
Si hapo sasa.
Wanawake na wajua vizuri kulikuwa na familia naishi yenye mama wa kambo aisee niligundua vingi sana toka utotoni. These beings use men emotionally
 
1. Kwa wasio mjua MABESTE, alikua msanii wa MZIKI bongo fleva miaka hiyo. Moja ya hit song yake kubwa Kwa wakati, sirudi TENA. Anaimba nakimbiza chapa ZANGU kila saa, kwenye dhiki sirudi te TENA na TENA na TENA tena tena.

2. PICHA linaanza baada ya kumuoa dada Mmoja aitwae lita, inasemekana alikua video queen, walijaaliwa kupata mtoto wa kiume.

3. Ghafla lita akapata matatatizo ya kiafya, alikutwa na saratani, hivyo ikahitajika gharama kumtibu.

4. Hicho ni kipindi ambacho mabeste alitaka kuchanganyikiwa hususani Kwa miaka hiyo, gharama zilikua juu ye mwenyewe hakua amejipata kivile.

5. Jamaa hakumtupa demu, wakaanza kuhangaika, huku mara kule, pesa ikakata.

6. Kwa sababu mabeste alikua msanii, akawapanga wana, kama vipi waandae show alafu mauzo yote apewe mwana ili yamsaidie kumtibu mkewe wa ndoa, MANA lita alikua mke halali na walifunga ndoa tena kipindi mabeste akiwa hot, ni jinsi GANI bro alikua na future kaacha ukapela tena enzi hizo kajala wema aun uwoya wako form, mshikaji kawategea kidogo akaona zake.

View attachment 3641088View attachment 3641089

7. MUNGU si athumani lita akapona kansa, shukran Kwa wana kumshikia mkono mwana na familia yake kama mnavo jua ugumu wa kuuguza una chacha fasta usishangae wakina marehemu ruge kuomba mchango wakina mkubwa fela bro kuuguza ni noma.

8. Mabeste alikua na rafiki yake wa damu ye alimtambulisha kama mdogo wake, asee kumbe dogo akaanza kumginga mkewe, mabeste hajui ye anachukulia ni mtu na shemeji yake kumbe mwana ana mzunguka.

9.demu akaona ili awe huru akitangaza rasmi kuachana na mabeste na kumtambulisha huyo dogo wa pembeni, ambae alikua rafiki yake na mumewe,

10. Mabeste aka loose mpaka hapo jamaa akawa cha pombe, uchungu sana kila akifikiria mtu alie MUONA kama mdogo wake kamvunjia familia, kamgongea mkewe, inauma sana mnajua, yani mke kabisa tena kavunja na ndoa na kampeleka kwenye vyombo vya Sheria juu weee.

11. Wana wanafiki wakawa wanachekea chini, wanamcheka mabeste huyooooooo aliwahi kuoaa tulimkanya haaaaaaaaa, mara ghafla wana wakashtuka mchizi anapotea.

12. Mapaparazi na wasanii ikavija video ikimuonesha mabeste kalewa chakali, Yuko kwenye boxer tu, kakonda ka muathirika wa ukimwi ikasemekena super star hana makazi ana lala nje daaaah. NADHANI maumivu baada ya kushikia dogo kamuoa kabisa mkewe na ujauzito juu.

13. Wana wakajitisha kuokoa jahazi, simu zika pigwa kila Kona huyu aje na huyu aje oyaaa hii inshu serious mjue, mambo si mambo.

14. Harakati za kumsevu mwamba zikaanza, watu walitoboka hasa sijui ni wakina nani, mwisho ukaishia hapo.

15. Leo ndo naona jamaa anajipost huko mwili umerudi Yuko ulaya siku hizi na Alisha oa nadhani jamaa atakumbuka hili tukio mpaka anazikwa.
Ni hatari sana hawa viumbe, ingawa Story ipo upande mmoja. Mwanamke nae aliongea nini pindi alipohojiwa kuhusu mshkaji?
 
Halafu leo nimekaa zangu nikakumbuka hili tukio
 
Nifahamishe mkuu
Tangu mwanzo mwa mahusiano yao, lisa ndo alikua analisha familia, na hata swala la ndoa pesa ya mahari lisa ndo aliitoa, sasa kama unavojua wanawake kiasili hawezi kuhudumia familia kwa muda mrefu lazima atachoka tuu, na mbaya zaidi mabeste alikua ni mtu ambaye ni kama ameridhika alikua hajishughulishi.. sababu iliyopelekea mwanamke wake kuolewa na rafiki wa mabeste, jamaa alikua ana clear bills za family na ku take care, na hii ni kipindi lisa ametoka kuumwa na hana pesa kwahiyo wote wawili wakawa hawana means za kuishi, jama ndo alipomchukua lisa

Kimsingi jamaa aliyemchukulia mabeste mke alizingua, lakini wote tunaujua udhaifu wa wanawake
 
Back
Top Bottom