Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

Kuna tofauti ya mtu ambaye alikua responsible afu akaja akipitia kipindi cha matatizo, na mtu ambaye hakuwa responsible na bado akapata tatizo jipya,
Kwa mabeste , lisa kuumwa ni kama ilikua work up call, jamaa alijisahau sana, ndo maana lisa alivyoanza kuumwa jamaa alichanganyikiwa sababu hakua na emergency plan yoyote

Watu wanaomshangaa lisa kumuacha mabeste na kuolewa na rafiki wa mabeste, walitakiwa pia washangae lisa aliwezaje kuishi kwa kipindi kirefu akihudumia familia, akajilipia mahari na wakati mabeste yupo tuu
Sasa hivi sasa ndio utajua umuhimu wa Mabeste, sometimes unahitaji faraja na upendo tu, fedha ni ziada, ila ukikosa faraja na upendo hizo fedha hazina maana.
 
Back
Top Bottom