Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

Mchepuko ninae mmoja, hanichuni Wala nini yupo independent kabisa ila Roho inaniuma sana sanaa kumsaliti wife.

Tumepanga soon tukutanishe timu uwanjani Mimi na yeye maana ni long time Sasa

Ila naogopa ogopa.. na Kiasili Mimi ni muoga muoga sana na ndio maana kama kijana wa kiume sijafanyaga mambo mengi

Maana Huwa Nina hofu ya Mungu pia naogopaga sana kuja kuwa mtu wa HOVYO HOVYO maishanii

Ukinitajia mchepuko naumia maana wife kajua Kila mara ananipa vijembe mfano Leo nimevaa nimependeza nimenyoa vizuri sana sanaa akaniuliza naenda wapii 😁
Mchepuko hujamuacha?
 
Tangu mwanzo mwa mahusiano yao, lisa ndo alikua analisha familia, na hata swala la ndoa pesa ya mahari lisa ndo aliitoa, sasa kama unavojua wanawake kiasili hawezi kuhudumia familia kwa muda mrefu lazima atachoka tuu, na mbaya zaidi mabeste alikua ni mtu ambaye ni kama ameridhika alikua hajishughulishi.. sababu iliyopelekea mwanamke wake kuolewa na rafiki wa mabeste, jamaa alikua ana clear bills za family na ku take care, na hii ni kipindi lisa ametoka kuumwa na hana pesa kwahiyo wote wawili wakawa hawana means za kuishi, jama ndo alipomchukua lisa

Kimsingi jamaa aliyemchukulia mabeste mke alizingua, lakini wote tunaujua udhaifu wa wanawake
Ndiyo shida ya kuoa Malaya
 
Usijisifu ke
Mchepuko ninae mmoja, hanichuni Wala nini yupo independent kabisa ila Roho inaniuma sana sanaa kumsaliti wife.

Tumepanga soon tukutanishe timu uwanjani Mimi na yeye maana ni long time Sasa

Ila naogopa ogopa.. na Kiasili Mimi ni muoga muoga sana na ndio maana kama kijana wa kiume sijafanyaga mambo mengi

Maana Huwa Nina hofu ya Mungu pia naogopaga sana kuja kuwa mtu wa HOVYO HOVYO maishanii

Ukinitajia mchepuko naumia maana wife kajua Kila mara ananipa vijembe mfano Leo nimevaa nimependeza nimenyoa vizuri sana sanaa akaniuliza naenda wapii 😁
mea Hilo jambo mapema jamaa yangu nilimkanya kia demu anasubiri ajipange utapigwa come back ya kibabe, ooh hanaga shida yule Kiko wapiiiiii
 
Boss mbona tunaishi na wanawake wakiwa mama wa nyumbani kwa muda hatuwaiti parasite Ila mume akikwama kidogo tu anakuwa parasite?.
Naomba nitoe somo la ndoa. Ndoa ni chombo mnakiingia humo ndani hampaswi kuishi kama wachumba humo mnakuwa mwili mmoja mambo ya hisia, huyu ajanifanyia hiki yuko hivi au vile mnayaacha nje humo ndani mnaunganishwa na jambo moja tu kupigana miti maadamu ni wazima wa afya na mmeshiba. Ndoa haipaswi kuingiliwa na inapaswa kuheshimiwa na watu wote na ukiingilia ujue una hatia. Ukisaidia wana ndoa saidia usepe usijipe umuhimu hata kidogo wa kutaka kuitibua la utakuwa ni mwenye hatia kubwa. Shida watu wanaingia kwenye ndoa bila ya kuijua ndio maana hiki chombo kinawatapika wengi nje na wengine wanaogopa kukiingia wakati kwa maoni sahihi ndoa ndiyo inayotunza mahusiano na kuyafanya kuwa salama zaidi maana inampa mtu unafuu wa kulipata tendo la ngono bila gharama na kwa usalama mkubwa. Kwenye ndoa pesa ya kusuka au kutengeza nywele sio lazima, outing sio lazima, kula kwa anasa sio lazima, mavazi ya gharama sio lazima, kuhonga hakuna, ni mahitaji ya msingi tu kama kula, kuvaa kulingana na uwezo wako na makazi basi.
Ningependa vijana wapate elimu kuhusu ndoa hakika tungejenga jamii nzuri yenye ustawi Bora.
Somo kuntu
 
Back
Top Bottom