Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

Siunaona! Ndo maana mkeo hakuachi na michepuko uliyonayo
Mchepuko ninae mmoja, hanichuni Wala nini yupo independent kabisa ila Roho inaniuma sana sanaa kumsaliti wife.

Tumepanga soon tukutanishe timu uwanjani Mimi na yeye maana ni long time Sasa

Ila naogopa ogopa.. na Kiasili Mimi ni muoga muoga sana na ndio maana kama kijana wa kiume sijafanyaga mambo mengi

Maana Huwa Nina hofu ya Mungu pia naogopaga sana kuja kuwa mtu wa HOVYO HOVYO maishanii

Ukinitajia mchepuko naumia maana wife kajua Kila mara ananipa vijembe mfano Leo nimevaa nimependeza nimenyoa vizuri sana sanaa akaniuliza naenda wapii 😁
 
Back
Top Bottom