Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

Hii story utakua umeiskia juu juu, hata jina la huyo dada sio lita ni Lisa fickenscher,
Ukweli ulioko nyuma ya pazia huyu dada ndo aliyetoa hela ya mahari kwa niaba ya mabeste ili tuu aolewe, tangu mwanzo mama ake hakua anataka aolewe na mabeste

Licha ya lisa kuumwa, lakini sababu kubwa iliyopelekea huyu dada akafanya maamuzi ya kutoka na rafiki wa mabeste ni sababu ya mabeste kusahau nafasi yake kama mwanaume, Huyu dada kama humjui unaweza ukamlaumu lakini ni mpambanaji sana, na inaonekana alimpenda mabeste kwa moyo wote ila baada ya kukaa naye akagundua mabeste ni aina ya wanaume wasiopenda kujishughulisha

Story ya mabeste kukutana na lisa ilianzia kwenye kazi zake huyu dada kama video vixen,

Hawa watu kiasi flani nawajua, tukisimama kwenye ukweli Mabeste ndo alizingua
Wapi alipoandika Lita!?
 
Unajua tatizo lenu vijana mnabadirishana majukumu na wanawake wa siku hizi.

Mnakuwa na mihemuko na emotional sana kuzidi mwanamke mwenyewe

So kinachofatia ni kulia wanawake ni hatari, wanawake ni mashetani wakati ulitupilia mbali logic ukaamua kushindana nae hisia.

Wanawake ni irrational beings, sasa ikitokea mwanaume umebabaika sana na mwanamke kinachofatia ni wewe kutupilia mbali mantic ili kufatana mihemuko yake, ukianza kumzoea ndio unaanza kumuona kama mzigo lakini hapo unakuta ni too late.
Sijaelewa mkuu !!
 
Ulichoeleza hapa ndio kitu nafahamu. Labda kwa wasiomjua vizuri mabeste wanaweza kumtetea. Ila jamaa alikuwa kama parasite. Mwanamke lazima achoke tu
Boss mbona tunaishi na wanawake wakiwa mama wa nyumbani kwa muda hatuwaiti parasite Ila mume akikwama kidogo tu anakuwa parasite?.
Naomba nitoe somo la ndoa. Ndoa ni chombo mnakiingia humo ndani hampaswi kuishi kama wachumba humo mnakuwa mwili mmoja mambo ya hisia, huyu ajanifanyia hiki yuko hivi au vile mnayaacha nje humo ndani mnaunganishwa na jambo moja tu kupigana miti maadamu ni wazima wa afya na mmeshiba. Ndoa haipaswi kuingiliwa na inapaswa kuheshimiwa na watu wote na ukiingilia ujue una hatia. Ukisaidia wana ndoa saidia usepe usijipe umuhimu hata kidogo wa kutaka kuitibua la utakuwa ni mwenye hatia kubwa. Shida watu wanaingia kwenye ndoa bila ya kuijua ndio maana hiki chombo kinawatapika wengi nje na wengine wanaogopa kukiingia wakati kwa maoni sahihi ndoa ndiyo inayotunza mahusiano na kuyafanya kuwa salama zaidi maana inampa mtu unafuu wa kulipata tendo la ngono bila gharama na kwa usalama mkubwa. Kwenye ndoa pesa ya kusuka au kutengeza nywele sio lazima, outing sio lazima, kula kwa anasa sio lazima, mavazi ya gharama sio lazima, kuhonga hakuna, ni mahitaji ya msingi tu kama kula, kuvaa kulingana na uwezo wako na makazi basi.
Ningependa vijana wapate elimu kuhusu ndoa hakika tungejenga jamii nzuri yenye ustawi Bora.
 
Wewe kama mwanaume, unakubali kwamba mwanamke ni kiumbe dhaifu?

Kama jibu lako ni ndiyo, basi hupaswi kushangazwa na baadhi ya maamuzi au matendo yake.

Kinachoshangaza ni pale unapokubali kuwa ana udhaifu wa kibinadamu, halafu baadaye unakuja kushangaa anapofanya maamuzi yanayoakisi huo udhaifu.

Ukishakubali msingi huo, utakuwa na matarajio yanayoendana na uhalisia badala ya kutarajia ukamilifu usiokuwepo.

Kwa case ya lisa na mabeste ni matokeo ya udhaifu wa mwanamke uliotokana na uzembe wa mwanaume
Boss uelezee uzembe wa mwanaume hapo juu niujue ili nisije ufanya nikapigwa na kitu kizito
 
Ukiandika habari tulia 😀😀😀tukujumuisha hatutak mm sikuolewa na mabeste mbona tunawakopea wanaume hela na tunaachwa wanaenda kuzirumia na rafikizetu na hatulalamiki hatusemi wanaume kenge wala viumbe hatari kilamtu anapigwa kipande chake 😀😀😀😀
Weka vithibitisho hapa tutaamini vipi ulimkopea mwanaume pesa, alikushikia bunduki?
 
Unaongelea ki ushabiki sana, kama dada alikua mpambanaji mbona pesa ya kumtibu ilopatikana Kwa michango tena ya washikaji zake mabeste kwenye show, bro mtu mvivu ndo utembee na rafiki yake? Kqnsa ya kipindi hicho unaichukulia poa, alafu kuhusu jina nimesahau ni Lisa au lita mana sija soma kokote nakala hapana, hapa nimetoa kichwani miaka hiyo bro ni popo haswa ndo mana Kuna baadhi ya mambo nimeyasahau sija soma popote elewa nimetoa kichwani Kwa kumbukumbu zangu
Nakumba hata hilo wazo la show alitoa huyu manzi alisema wakati akihojiwa naa clouds
 
Back
Top Bottom