Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
- #201
Basi angeenda kuimba yeyeNakumba hata hilo wazo la show alitoa huyu manzi alisema wakati akihojiwa naa clouds
Basi angeenda kuimba yeyeNakumba hata hilo wazo la show alitoa huyu manzi alisema wakati akihojiwa naa clouds
Tell me about it, usitake niende gugo banaa…So far unapingana na law of compensation, uko vizuri.
We ulikuwepoAnapenda kulelewa
Achana nae huyo, mpambeWekeni clip mbona mnatumia mate na wino upo?
Nimeuliza hili swali sijajibiwaWakati anamtibu zile hela alaikua anatoa kwa. Bibi yake??
DahInawezekana kabla mabeste hajamwoa huyo mwanamke alikuwa na mahusiano ya Siri na huyo rafiki yake Kwa hiyo hapa shida ni mwanamke
New single mother in town stay tuned dear, si mnajiita malkia wa nguvu haya twende kaziKwanini apoteane? Hizo story za kusubiri kila aliyetenda ubaya apoteane ni za alfu lela ulela.
She’s living her best life.
Hizo nyimbo alizo kua anaimba ULIKUA unamlipia wewe gharama?Kwa mapene gani mabestie aliyonayo?
Hato Rudi tena huyo, umemmaliza kabisa kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaSawa nitunuku basi uwe mfano kwa wengine 😂 😂
Yall move on okay?New single mother in town stay tuned dear, si mnajiita malkia wa nguvu haya twende kazi
Jike shupaYule ni tapeli, lazima atapoteana tu kwa dhambi aliotenda
Bara hii hii ya upande mmoja,wanawake ni mabingwa wa kuupindisha ukweli.Ingawa tumesikia upande mmoja tu wa shilingi, ila hii habari inaumiza sana
Ingekuwa vyema na huyo Mke atoe ya kwake
Wanawake wa sasa malaya tu,99% waliopo kwenye ndoa Wana mahawara,hapo bado hajashika mimba nje na kukwambia ya kwako uso mkavuWanaume wanaongoza kuumiza wanawake kutelekeza famlia kuwapiga wenza wao matukio usaliti,vipigo kutembea na ndugu had wasichana wa kazi na mengine mengi mbona km yenu mnayaonaga madogo sana kuliko ya wanawake wakt nyie ndo vinara wa kuumiza mioyo ya watu,hii inanifikirishaga sana
Go en tell her, karma is aroundYall move on okay?
Mwacheni Lisa, she’s doing fine so far.
Na mabeste ikitokea akaachana na mkewe wa sasa itakuwa Karma pia?Go en tell her, karma is around
Umelishwa sumu na baba yako.Mama yangu alicho mfanyia baba yangu yaache tu mkuu
Muda ukifika utajua, si Kwa sasa umedai hujui?Na mabeste ikitokea akaachana na mkewe wa sasa itakuwa Karma pia?
Mtu kama amegundua alifanya bad choice again and again anatakiwa kuondoka, au mtu mwenyewe akigundua she/he’s bad choice. Karma ina husika nini hapo.
Learn, unlearn , re learn.
Nimelishwaje sumu, ilihali nilikua najionea, tulia basiUmelishwa sumu na baba yako.