Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

Dua la mwewe. Kwenye maisha hakuna kitu kimenishinda kama kuwaza negative baada ya kupishana na mtu..
Shangaa na wewe.

Dunia haizunguki kwenye muhimili wa mtu yeyote , kwahiyo kudhani mbaya wako atapatwa na mabaya ni mindset itakayokuchelewesha tu.

Maisha ya Lisa yaliendelea, maisha ya mabeste yaliendelea.
 
Back
Top Bottom