Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,179
- 2,948
Mkuu wewe ni mwanaume? Mathalani umekutana na mwanamke sehemu ukamwelewa na kumtongoza. Baadae unakuja kugundua ni mke wa mtu. Inawezekana ni mfano mgumu kwakua huyo jamaa alikua anajua kua huyo ni mke wa mshikaji wake lakini point yangu ni kwamba mwanamke ndo anaeweza kukuokoa kwenye hiyo kesi kwa tabia, msimamo na ukweli wake. Kuna jamaa wengi tu wamepita na wake za watu kwasababu tu ya ujinga na tamaa za wanawake wenyewe. Jamaa alizingua lakini hapo mwanamke anaponaje sasa? Kama aliweza kutoka na rafiki wa Mume wake ambae wanafahamiana fika, unaelewa maana yake? Kwakifupi mwanaume awe anajua ama hajui kama mwanamke kaolewa mtu wa kwanza kuepusha matatizo yote ni mwanamke. So uyo Dada haijalishi alivumilia madhaifu kiasi gani ya jamaa ila hizo sifa zote ulizompa zimeshushwa adi zero (0)kwa kukubali kutoka/ kuolewa na rafiki wa aliekua Mume wake. Swala la jamaa ni mjadala mwingine ambao code za kiume zinakataa moja kwa moja bila kumtetea.Tangu mwanzo mwa mahusiano yao, lisa ndo alikua analisha familia, na hata swala la ndoa pesa ya mahari lisa ndo aliitoa, sasa kama unavojua wanawake kiasili hawezi kuhudumia familia kwa muda mrefu lazima atachoka tuu, na mbaya zaidi mabeste alikua ni mtu ambaye ni kama ameridhika alikua hajishughulishi.. sababu iliyopelekea mwanamke wake kuolewa na rafiki wa mabeste, jamaa alikua ana clear bills za family na ku take care, na hii ni kipindi lisa ametoka kuumwa na hana pesa kwahiyo wote wawili wakawa hawana means za kuishi, jama ndo alipomchukua lisa
Kimsingi jamaa aliyemchukulia mabeste mke alizingua, lakini wote tunaujua udhaifu wa wanawake