Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,311
- 49,343
Swadakta basi wote sio wakamilifu hapo mambo sare sare kesi iishie hapaKwani nyie hamliwi na maboss zenu maofisini? Bodaboda, garden boy, wafanya kazi wenzenu, ndugu wa mume, mbona husemi hayo

Kumbe Huwa unaliwa dah! Inasikitisha sana aiseeSwadakta basi wote sio wakamilifu hapo mambo sare sare kesi iishie hapa
Huyu kachokozwa wapiTunakuwa hatari tukichokozwa 😝
Baadae Sana.Moja ya hit song yake kubwa Kwa wakati huo ni, sirudi TENA.
Utajua wew bhana 😀 😀 😀Kumbe Huwa unaliwa dah! Inasikitisha sana aisee
Mimi tenaHuyu kachokozwa wapi
😀😀😀😀Nashindwa kuwelewa kwa sauti ya mchinaTunakuwa hatari tukichokozwa 😝
Nilikumiss unajua😀😀😀😀Nashindwa kuwelewa kwa sauti ya mchina
Ni nashindwa kualewa😀😀😀😀Nashindwa kuwelewa kwa sauti ya mchina
Mimi pia dearNilikumiss unajua
Hapo kwa mchina😅
Na ikawe kwangu1. Kwa wasio mjua MABESTE, alikua msanii wa MZIKI bongo fleva miaka hiyo. Moja ya hit song yake kubwa Kwa wakati huo ni, sirudi TENA. Anaimba, nakimbiza chapa, ZANGU kila saa, kwenye dhiki, sirudi te, TENA na TENA na TENA na tena na.
2. PICHA linaanza baada ya kumuoa dada Mmoja aitwae lisa, inasemekana alikua video queen, walijaaliwa kupata mtoto wa kiume.
3. Ghafla lisa akapata matatatizo ya kiafya, alikutwa na saratani, hivyo ikahitajika gharama kumtibu.
4. Hicho ni kipindi ambacho mabeste alitaka kuchanganyikiwa hususani Kwa miaka hiyo, gharama zilikua juu ye mwenyewe hakua amejipata kivile.
5. Jamaa hakumtupa demu, wakaanza kuhangaika, huku mara kule, pesa ikakata.
6. Kwa sababu mabeste alikua msanii, akawapanga wana, kama vipi waandae show alafu mauzo yote apewe mwana ili yamsaidie kumtibu mkewe wa ndoa, MANA lisa alikua mke halali na walifunga ndoa tena kipindi mabeste akiwa hot, ni jinsi GANI bro alikua na future kaacha ukapela tena enzi hizo kajala, wema, aunt, uwoya wako form, mshikaji kawategea kisogo akaoa zake.
View attachment 3641088View attachment 3641089
7. MUNGU si athumani lisa akapona kansa, shukran Kwa wana kumshikia mkono mwana na familia yake kama mnavo jua ugumu wa kuuguza una chacha fasta usishangae wakina marehemu ruge kuomba mchango wakina mkubwa fela bro kuuguza ni noma.
8. Mabeste alikua na rafiki yake wa damu ye alimtambulisha kama mdogo wake, asee kumbe dogo akaanza kumgonga mkewe, mabeste hajui ye anachukulia ni mtu na shemeji yake kumbe mwana ana mzunguka.
9.demu akaona ili awe huru akatangaza rasmi kuachana na mabeste na kumtambulisha huyo dogo wa pembeni, ambae alikua rafiki yake na mumewe,
10. Mabeste aka loose mpaka hapo jamaa akawa cha pombe, uchungu sana kila akifikiria mtu alie MUONA kama mdogo wake kamvunjia familia, kamgongea mkewe, inauma sana mnajua, yani mke kabisa tena kavunja na ndoa na kampeleka kwenye vyombo vya Sheria juu weee.
11. Wana wanafiki wakawa wanachekea chini, wanamcheka mabeste huyooooooo aliwahi kuoaa tulimkanya haaaaaaaaa, mara ghafla wana wakashtuka mchizi anapotea.
12. Mapaparazi na wasanii ikavuja video ikimuonesha mabeste kalewa chakali, Yuko kwenye boxer tu, kakonda ka muathirika wa ukimwi ikasemekena super star hana makazi ana lala nje daaaah. NADHANI maumivu baada ya kusikia dogo kamuoa kabisa mkewe na ujauzito juu.
13. Wana wakajiitisha kuokoa jahazi, simu zika pigwa kila Kona huyu aje na huyu aje oyaaa hii inshu serious mjue, mambo si mambo.
14. Harakati za kumsevu mwamba zikaanza, watu walitoboka hasa sijui ni wakina nani, mwisho ukaishia hapo.
15. Leo ndo naona jamaa anajipost huko mwili umerudi Yuko ulaya siku hizi na Alisha oa nadhani jamaa atakumbuka hili tukio mpaka anazikwa.
Ukiandika habari tulia 😀😀😀tukujumuisha hatutak mm sikuolewa na mabeste mbona tunawakopea wanaume hela na tunaachwa wanaenda kuzirumia na rafikizetu na hatulalamiki hatusemi wanaume kenge wala viumbe hatari kilamtu anapigwa kipande chake 😀😀😀😀Kumbe Huwa unaliwa dah! Inasikitisha sana aisee
😁😁😁😁😁😁😁Mwaya wanaume ni viumbe dhaifu 😂😂😂
Kuna tofauti kati ya Mke wa kujitafutia mwenyewe na Mke wa kupewa na Mungu1. Kwa wasio mjua MABESTE, alikua msanii wa MZIKI bongo fleva miaka hiyo. Moja ya hit song yake kubwa Kwa wakati huo ni, sirudi TENA. Anaimba, nakimbiza chapa, ZANGU kila saa, kwenye dhiki, sirudi te, TENA na TENA na TENA na tena na.
2. PICHA linaanza baada ya kumuoa dada Mmoja aitwae lisa, inasemekana alikua video queen, walijaaliwa kupata mtoto wa kiume.
3. Ghafla lisa akapata matatatizo ya kiafya, alikutwa na saratani, hivyo ikahitajika gharama kumtibu.
4. Hicho ni kipindi ambacho mabeste alitaka kuchanganyikiwa hususani Kwa miaka hiyo, gharama zilikua juu ye mwenyewe hakua amejipata kivile.
5. Jamaa hakumtupa demu, wakaanza kuhangaika, huku mara kule, pesa ikakata.
6. Kwa sababu mabeste alikua msanii, akawapanga wana, kama vipi waandae show alafu mauzo yote apewe mwana ili yamsaidie kumtibu mkewe wa ndoa, MANA lisa alikua mke halali na walifunga ndoa tena kipindi mabeste akiwa hot, ni jinsi GANI bro alikua na future kaacha ukapela tena enzi hizo kajala, wema, aunt, uwoya wako form, mshikaji kawategea kisogo akaoa zake.
View attachment 3641088View attachment 3641089
7. MUNGU si athumani lisa akapona kansa, shukran Kwa wana kumshikia mkono mwana na familia yake kama mnavo jua ugumu wa kuuguza una chacha fasta usishangae wakina marehemu ruge kuomba mchango wakina mkubwa fela bro kuuguza ni noma.
8. Mabeste alikua na rafiki yake wa damu ye alimtambulisha kama mdogo wake, asee kumbe dogo akaanza kumgonga mkewe, mabeste hajui ye anachukulia ni mtu na shemeji yake kumbe mwana ana mzunguka.
9.demu akaona ili awe huru akatangaza rasmi kuachana na mabeste na kumtambulisha huyo dogo wa pembeni, ambae alikua rafiki yake na mumewe,
10. Mabeste aka loose mpaka hapo jamaa akawa cha pombe, uchungu sana kila akifikiria mtu alie MUONA kama mdogo wake kamvunjia familia, kamgongea mkewe, inauma sana mnajua, yani mke kabisa tena kavunja na ndoa na kampeleka kwenye vyombo vya Sheria juu weee.
11. Wana wanafiki wakawa wanachekea chini, wanamcheka mabeste huyooooooo aliwahi kuoaa tulimkanya haaaaaaaaa, mara ghafla wana wakashtuka mchizi anapotea.
12. Mapaparazi na wasanii ikavuja video ikimuonesha mabeste kalewa chakali, Yuko kwenye boxer tu, kakonda ka muathirika wa ukimwi ikasemekena super star hana makazi ana lala nje daaaah. NADHANI maumivu baada ya kusikia dogo kamuoa kabisa mkewe na ujauzito juu.
13. Wana wakajiitisha kuokoa jahazi, simu zika pigwa kila Kona huyu aje na huyu aje oyaaa hii inshu serious mjue, mambo si mambo.
14. Harakati za kumsevu mwamba zikaanza, watu walitoboka hasa sijui ni wakina nani, mwisho ukaishia hapo.
15. Leo ndo naona jamaa anajipost huko mwili umerudi Yuko ulaya siku hizi na Alisha oa nadhani jamaa atakumbuka hili tukio mpaka anazikwa.
Kuna tofauti kati ya Mume wa kujitafutia mwenyewe na Mume wa kupewa na MunguWanaume wanaongoza kuumiza wanawake kutelekeza famlia kuwapiga wenza wao matukio usaliti,vipigo kutembea na ndugu had wasichana wa kazi na mengine mengi mbona km yenu mnayaonaga madogo sana kuliko ya wanawake wakt nyie ndo vinara wa kuumiza mioyo ya watu,hii inanifikirishaga sana
Umemaliza! Uzuri binti alihojiwa na mabestie alihojiwa akashindwa kujitetea.Ulichoeleza hapa ndio kitu nafahamu. Labda kwa wasiomjua vizuri mabeste wanaweza kumtetea. Ila jamaa alikuwa kama parasite. Mwanamke lazima achoke tu