Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

Tatizo liko kwa Wanaume, wanawake hawana shida
 
MABESTE
 
Hii story utakua umeiskia juu juu, hata jina la huyo dada sio lita ni Lisa fickenscher,
Ukweli ulioko nyuma ya pazia huyu dada ndo aliyetoa hela ya mahari kwa niaba ya mabeste ili tuu aolewe, tangu mwanzo mama ake hakua anataka aolewe na mabeste

Licha ya lisa kuumwa, lakini sababu kubwa iliyopelekea huyu dada akafanya maamuzi ya kutoka na rafiki wa mabeste ni sababu ya mabeste kusahau nafasi yake kama mwanaume, Huyu dada kama humjui unaweza ukamlaumu lakini ni mpambanaji sana, na inaonekana alimpenda mabeste kwa moyo wote ila baada ya kukaa naye akagundua mabeste ni aina ya wanaume wasiopenda kujishughulisha

Story ya mabeste kukutana na lisa ilianzia kwenye kazi zake huyu dada kama video vixen,

Hawa watu kiasi flani nawajua, tukisimama kwenye ukweli Mabeste ndo alizingua
 
Unaongelea ki ushabiki sana, kama dada alikua mpambanaji mbona pesa ya kumtibu ilopatikana Kwa michango tena ya washikaji zake mabeste kwenye show, bro mtu mvivu ndo utembee na rafiki yake? Kqnsa ya kipindi hicho unaichukulia poa, alafu kuhusu jina nimesahau ni Lisa au lita mana sija soma kokote nakala hapana, hapa nimetoa kichwani miaka hiyo bro ni popo haswa ndo mana Kuna baadhi ya mambo nimeyasahau sija soma popote elewa nimetoa kichwani Kwa kumbukumbu zangu
 
Daah aise washukuriwe walo muokoa

Na come back baada ya downfall huwa inakuwa ya moto si unaona mshkaji karudi form...

Ndugu wamatumbi huwa nawakumbusha kila siku wasiyape mapenzi umuhimu hawasikii
 
Kwahiyo akaamua kumlipa kwa kutembea na rafiki yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…