Wanawake ni wazuri wakiwa kazini

Wanawake ni wazuri wakiwa kazini

Kawaida ya dera jipya haya yetu ya bei rahisi yanakuwa na fabric ngumu kama karatasi, likifuliwa fuliwa likaanza kupauka linalegea na kuwa laini basi ukilitupia bila kyupi ni burudani sana. [emoji3]

Wanaume msitufananishe na wanawake wa kizungu wanaovaa leggings top na hills ndani. Sisi tuna namna yetu ya kupendeza ndani, kikubwa mtu awe msafi na achane nywele zikae vizuri kama hazijasukwa.
Kwakweli watuache tupumue jamani[emoji1787]
 
😄😄😄

Kuna tofauti kati ya Mke na Mwanamke

Kusema wanawake ni Generally
Kusema Mke ni Specifically
Wanawake inamaanisha hata mkeo yumo. Na mwanamke ni mke pia, ila ukiamua kutofautisha haijakatazwa
 
Mabaharia wanakwambia kwanini uendelee na kampeni wakati umeshapata jimbo? 😀😀😀😀

Anyways ni somo zuri sana hili, mimi niliumwa kipindi fulani nilivyopona nikajiachia sababu nilikuwa likizo, ilibidi nikumbushwe kwa utani kuwa umejichoka sana, (nakumbuka nilikuwa na wiki kadhaa hata kwapa sijashave, naona hata aibu kuhadithia) Baada ya ujumbe kunifikia Nilipata purpose ya maisha again nikarudi kwenye game.

Mapenzi raha sana kama una mtu anakupenda na mnaelewana.
Mabaharia sio watu wa sport - sport, hivyo nawe uliamua kuwa baharia ee!
 
Huu uzi ni muhimu sana kwa wanawake wote ndani ya ndoa ambao wakiwa majumbani mwao wanajisahau sana kwa kisingizio cha kupika, kusafisha nyumba etc. Ni ukweli usiofichika huwezi kujiremba wakati unafanya kazi hizo lakini ukimaliza kaoge ujirembe weka nywele zako vizuri kama zile za kuendea kazini 😜😜😜 piga gauni lako zuri hata kama siyo lile la kuendea kazini 😜 ili hata mwenzio ajisifu hapa nilioa banaaa mke wangu mzuri kweli siyo uko nyuku nyuku utadhani ni house girl na kama una house girl yeye anaonekana kajiweka vizuri kuliko mama mwenye nyumba 😜😜😜😂😂😂😂
Hakika mkuu umenena. Pengine ndoa nyingi zitapata ahueni. Pengine migogoro mingine hutokea bila kujua kuwa inahusianisha na muonekano tu wa mke/mume akiwepo home
 
Habari za Jumapili.

Nikiwa nimetulia ndani jioni namuona mamsap akirudi toka kwenye mishe. Pia alipitia saluni. Katengeneza nywele zake vizuri anavutia kumtazama

Sasa ujinga ni kuwa kufika tu kachukua kilemba kafungia nywele humo kazibania vizuri hata isionekane hata moja! Hapo tayari kuanza mishe za nyumbani. Ule mvuto aliokuja nao ukatoweka.

Ikifika asubuhi anajikwatua tena na kuziachia vizuri tayari kwenda kazini. Huko anakutana na wenzake. Mabosi, vijana, wababa, wapita njia, n.k. Wote kwa nyakati tofauti wanavutiwa nae kwa muonekano ambao alipokuwa nyumbani aliuficha.

Jioni inafika tena anafika nyumbani na kujitupia tambara lake kichwani. Tena anaweza kutafuta na nguo nguo huko akajitupia kisha akaendelea na mishe za nyumbani.

Kwa hali hii hamasa itakuwepo? Hakika yatabakia mazoea tu.

Chief umekaa kabisa unajisifia kwamba uko nyumbani mkeo ndiyo anarudi mishe kapendeza ? Yaani mambo yanaenda kimsegemnege kweli,yale ya ajabu na udhalili ndiyo yanaonekana ya fahari .

Maana yake wewe umewahi kurudi kabla ya mkeo,halafu unaona fahari. Nakushangaa sana.

Mimi wake zangu hawatoki kwenda mishe maadamu mimi niko hai. Kwanza anaanzaje ? Wao ni kutulia nyumbani nilete mimi.

Ukistaajabu ya Musa,utayaona ya Firauni.

Shukrani.
 
Nimesoma maoni ya wadau wa kike na wa kiume,ila kujipamba ni kwa wote,sisi wanaume lazima tujipambe kwa ajili ya wake zetu, yaani wakituona tu wanafurahi na kutuona sisi wapya,na wake zetu lazima wajipambe kwetu(kama wadau wengi walivyo gusia hili). Sisi ni mavazi kwao na wao ni mavazi kwetu.
 
Huu uzi ni muhimu sana kwa wanawake wote ndani ya ndoa ambao wakiwa majumbani mwao wanajisahau sana kwa kisingizio cha kupika, kusafisha nyumba etc. Ni ukweli usiofichika huwezi kujiremba wakati unafanya kazi hizo lakini ukimaliza kaoge ujirembe weka nywele zako vizuri kama zile za kuendea kazini [emoji12][emoji12][emoji12] piga gauni lako zuri hata kama siyo lile la kuendea kazini [emoji12] ili hata mwenzio ajisifu hapa nilioa banaaa mke wangu mzuri kweli siyo uko nyuku nyuku utadhani ni house girl na kama una house girl yeye anaonekana kajiweka vizuri kuliko mama mwenye nyumba [emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii iwe two way traffic.

Na sie pia twapenda muwapo nyumbani mvae vizuri na kunukia perfume.
 
Habari za Jumapili.

Nikiwa nimetulia ndani jioni namuona mamsap akirudi toka kwenye mishe. Pia alipitia saluni. Katengeneza nywele zake vizuri anavutia kumtazama

Sasa ujinga ni kuwa kufika tu kachukua kilemba kafungia nywele humo kazibania vizuri hata isionekane hata moja! Hapo tayari kuanza mishe za nyumbani. Ule mvuto aliokuja nao ukatoweka.

Ikifika asubuhi anajikwatua tena na kuziachia vizuri tayari kwenda kazini. Huko anakutana na wenzake. Mabosi, vijana, wababa, wapita njia, n.k. Wote kwa nyakati tofauti wanavutiwa nae kwa muonekano ambao alipokuwa nyumbani aliuficha.

Jioni inafika tena anafika nyumbani na kujitupia tambara lake kichwani. Tena anaweza kutafuta na nguo nguo huko akajitupia kisha akaendelea na mishe za nyumbani.

Kwa hali hii hamasa itakuwepo? Hakika yatabakia mazoea tu.

Raha yetu men tukiwa home tuwaone wake zetu wapite-pite mbele zetu, mara hujamuona kwa dakika 5 hivi unaamua kumuita ili akuletee maji ya kunywa, zikipita dakika kadhaa hujamuona tena unamuita uili akuletee juice, mara umuite umuulize chaja ya simu iko wapi japo unajua fika ilipo, mara umuulize taulo liko wapi . Yaani bora umuone-one tyuu. Tena kama ana mzigo ndio utamfaidi kweli wakat huo yupo ndani ya vazi amazing la khanga, unaangusha kitabu au simu makusudi na unamuita aje akuokotee, (apo moyo mwemwere-mwemwere). Daah! Dunia tamu sana, isiishe mapema kabisa.

Sasa km hajapendeza, mzigo hana, amevaa hovyo na havutii kwa chochote, hapo ndipo simu za kuwastua wana twende viwanja zinapoanziaga.
 
Kama najiona nikitoka mishe huko dera liko wapi hata sidiria sivai ziwa linacheza segere tu kifuani, halafu Kuna Yale Madera ya kushindia yamepauka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah, Yale yaliyoiva mapya mapya eti yakutokea.
Ha haaaaa haaa. You killed it.

Tatizo hawa wenzetu hawajui mapirika ya nyumbani yalivyo magumu. Hio kupandilia ratiba mpk mambo yote yakawa sawa ndani ya nyumba Sio kazi rahisi.

Halafu bado upate na muda wa kujiremba
 
Kuna wanawake ni warembo sana wakiwa hawana make up, yani toto limesuka twende kilioni lakini roho yako inasuuzika.
Tena unajikuta unamfananisha na malaika, ingawaje hujawahi kumuona malaika.
 
Raha yetu men tukiwa home tuwaone wake zetu wapite-pite mbele zetu, mara hujamuona kwa dakika 5 hivi unaamua kumuita ili akuletee maji ya kunywa, zikipita dakika kadhaa hujamuona tena unamuita uili akuletee juice, mara umuite umuulize chaja ya simu iko wapi japo unajua fika ilipo, mara umuulize taulo liko wapi . Yaani bora umuone-one tyuu. Tena kama ana mzigo ndio utamfaidi kweli wakat huo yupo ndani ya vazi amazing la khanga, unaangusha kitabu au simu makusudi na unamuita aje akuokotee, (apo moyo mwemwere-mwemwere). Daah! Dunia tamu sana, isiishe mapema kabisa.

Sasa km hajapendeza, mzigo hana, amevaa hovyo na havutii kwa chochote, hapo ndipo simu za kuwastua wana twende viwanja zinapoanziaga.

Utoto raha sana
 
Chief nauomba basi huo moyo tukapige fweza chap!

Seriously mwanamke akiwa yuko natural huwa napenda sana.
Huwa nikikutana na mwanamke mwenzangu yuko na short hair/ziwe ndefu za asilia,awe na rangi nyeusi flani hivi,asiweke makorokoro mengi uso,amemevaa vizuri halafu ananukia..Jesus huwa nasimamaga tumtazama aiseh sikubaligi apite sijamwangalia.haiwezekani
Upo sahihi mm mke wangu akiweka matakataka yake kichwani wala sihangaiki hata kumgusa....
ila akiyatoa akibaki na natural hair.....
huwa namshambulia balaa....
 
Ha haaaaa haaa. You killed it.

Tatizo hawa wenzetu hawajui mapirika ya nyumbani yalivyo magumu. Hio kupandilia ratiba mpk mambo yote yakawa sawa ndani ya nyumba Sio kazi rahisi.

Halafu bado upate na muda wa kujiremba
Hili jambo sahali sana hasa kwa wale wake zetu ambao shani yao na hupenda kukaa nyumbani(yaani si wa mishe mishe za kutoka) yaani wenye kujitambua,huwa wanajua mida yetu ya kurudi nyumbani sababu huwa tuna toa taarifa (hakuna mambo ya suprise),unakuta mke amejipamba akapambika kila siku unamuona mpya,tena akiwa nyumba lazima apunguze stara,basi uzuri ulioje. Tulio oa pwani hizi hali tunaishi nazo.

Mola wetu mlezi,dumisha ndoa zetu

Suala la kujiremba kama ni kawaida yako huwa sahali mno,ni ku switch "code" tu easy.
 
Back
Top Bottom