Wanawake ni wazuri wakiwa kazini

Kwakweli watuache tupumue jamani[emoji1787]
 
😄😄😄

Kuna tofauti kati ya Mke na Mwanamke

Kusema wanawake ni Generally
Kusema Mke ni Specifically
Wanawake inamaanisha hata mkeo yumo. Na mwanamke ni mke pia, ila ukiamua kutofautisha haijakatazwa
 
Mabaharia sio watu wa sport - sport, hivyo nawe uliamua kuwa baharia ee!
 
Hakika mkuu umenena. Pengine ndoa nyingi zitapata ahueni. Pengine migogoro mingine hutokea bila kujua kuwa inahusianisha na muonekano tu wa mke/mume akiwepo home
 
Chief umekaa kabisa unajisifia kwamba uko nyumbani mkeo ndiyo anarudi mishe kapendeza ? Yaani mambo yanaenda kimsegemnege kweli,yale ya ajabu na udhalili ndiyo yanaonekana ya fahari .

Maana yake wewe umewahi kurudi kabla ya mkeo,halafu unaona fahari. Nakushangaa sana.

Mimi wake zangu hawatoki kwenda mishe maadamu mimi niko hai. Kwanza anaanzaje ? Wao ni kutulia nyumbani nilete mimi.

Ukistaajabu ya Musa,utayaona ya Firauni.

Shukrani.
 
Nimesoma maoni ya wadau wa kike na wa kiume,ila kujipamba ni kwa wote,sisi wanaume lazima tujipambe kwa ajili ya wake zetu, yaani wakituona tu wanafurahi na kutuona sisi wapya,na wake zetu lazima wajipambe kwetu(kama wadau wengi walivyo gusia hili). Sisi ni mavazi kwao na wao ni mavazi kwetu.
 
Hii iwe two way traffic.

Na sie pia twapenda muwapo nyumbani mvae vizuri na kunukia perfume.
 
Raha yetu men tukiwa home tuwaone wake zetu wapite-pite mbele zetu, mara hujamuona kwa dakika 5 hivi unaamua kumuita ili akuletee maji ya kunywa, zikipita dakika kadhaa hujamuona tena unamuita uili akuletee juice, mara umuite umuulize chaja ya simu iko wapi japo unajua fika ilipo, mara umuulize taulo liko wapi . Yaani bora umuone-one tyuu. Tena kama ana mzigo ndio utamfaidi kweli wakat huo yupo ndani ya vazi amazing la khanga, unaangusha kitabu au simu makusudi na unamuita aje akuokotee, (apo moyo mwemwere-mwemwere). Daah! Dunia tamu sana, isiishe mapema kabisa.

Sasa km hajapendeza, mzigo hana, amevaa hovyo na havutii kwa chochote, hapo ndipo simu za kuwastua wana twende viwanja zinapoanziaga.
 
Kama najiona nikitoka mishe huko dera liko wapi hata sidiria sivai ziwa linacheza segere tu kifuani, halafu Kuna Yale Madera ya kushindia yamepauka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah, Yale yaliyoiva mapya mapya eti yakutokea.
Ha haaaaa haaa. You killed it.

Tatizo hawa wenzetu hawajui mapirika ya nyumbani yalivyo magumu. Hio kupandilia ratiba mpk mambo yote yakawa sawa ndani ya nyumba Sio kazi rahisi.

Halafu bado upate na muda wa kujiremba
 
Kuna wanawake ni warembo sana wakiwa hawana make up, yani toto limesuka twende kilioni lakini roho yako inasuuzika.
Tena unajikuta unamfananisha na malaika, ingawaje hujawahi kumuona malaika.
 

Utoto raha sana
 
Upo sahihi mm mke wangu akiweka matakataka yake kichwani wala sihangaiki hata kumgusa....
ila akiyatoa akibaki na natural hair.....
huwa namshambulia balaa....
 
Ha haaaaa haaa. You killed it.

Tatizo hawa wenzetu hawajui mapirika ya nyumbani yalivyo magumu. Hio kupandilia ratiba mpk mambo yote yakawa sawa ndani ya nyumba Sio kazi rahisi.

Halafu bado upate na muda wa kujiremba
Hili jambo sahali sana hasa kwa wale wake zetu ambao shani yao na hupenda kukaa nyumbani(yaani si wa mishe mishe za kutoka) yaani wenye kujitambua,huwa wanajua mida yetu ya kurudi nyumbani sababu huwa tuna toa taarifa (hakuna mambo ya suprise),unakuta mke amejipamba akapambika kila siku unamuona mpya,tena akiwa nyumba lazima apunguze stara,basi uzuri ulioje. Tulio oa pwani hizi hali tunaishi nazo.

Mola wetu mlezi,dumisha ndoa zetu

Suala la kujiremba kama ni kawaida yako huwa sahali mno,ni ku switch "code" tu easy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…