Wanawake: Nywele za sehemu za siri ni kero na karaha

aliyekwambia anaenda kushikwashikwa ni nani?

na hisia zinakujaje wakati makumi ya nywele yanachomolewa kwa wakati mmoja?

hii ni kazi kama zingine na mtu akija na agenda zingine atafukuzwa.
Wangejua hio waxing ilivo painful hata wasingeleza habar za kupata ashki cjui
 
Issue sio nani anaona nini,issue wengine viwembe havitupendi,waxing ndo inatutoa softyyy
Kwani hiyo waxing huwezi kufanyiwa na mumeo....au boyfriend wako...???
Hivi huoni aibu au kinyaa kuanika tupu zako hovyo kwa sababu kama hii......??
 
Kwani hiyo waxing huwezi kufanyiwa na mumeo....au boyfriend wako...???
Hivi huoni aibu au kinyaa kuanika tupu zako hovyo kwa sababu kama hii......??
Kwa kweli haiwezekani na huwezi kujifanyia,inahitaji ujuzi na vifaa,nadhani u should Google to atleast see how waxing is done
Aibu/kinyaa kwa kweli sina coz naenjoy benefits za ngozi nyororooo
 
Kwa kweli haiwezekani na huwezi kujifanyia,inahitaji ujuzi na vifaa,nadhani u should Google to atleast see how waxing is done
Aibu/kinyaa kwa kweli sina coz naenjoy benefits za ngozi nyororooo
Kwanini asikufanyie mumeo....??
 
Dada angu hiyo kazi ndio ila haina tofauti na ile ya kufanyiwa masaji huwezi kunambia mtu anaishi kushika nywele tu ngozi asishike kwa sababu hiyo ishu inafanya kwa mikono
Kuna tofauti massage huwezi kuta mwanaume anafanyiwa na mwanaume mwenzie ni wa kike ndo anamfanyia and vice versa, na massage inakurelax mtu na ukishikwa muda mrefu hata uwe mgumu vipi lazma utaamsha hisia tu
Waxing ni unafanyiwa na mwanamke mwenzio, ndani ya dk 10,Ina maumivuu,wax hio inakuwaga ya moto hivi wanapaka wanavuta kwa nguvu hata km we ni mtaalamu wa kuamsha ashki waxing ni mwisho wa relii huwezi kutulia kuvuta hisia kwa yale maumivu
 
Ushawahi fanya hio waxing au unabisha tu
Kafanye afu njoo utoe mrejesho
 
DI salon. nyuma ya best bite, Namanga.

LOL and no mmoja tu anatosha.
 
Za wajapani ziachwe tu..ila sisi wabongo kipilipili hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…