sasa kama kitu kinahitaji pesa maana yake si kinauzwa au ww mwenzangu kitu kinacho hitaji pesa unakiitaje?
Kwahiyo ulipokuwa mtoto baba yako anakupa pesa ulikuwa unajiuza? mkeo unapompa pesa anajiuza? mwanao akikuomba pesa anajiuza? wazazi wako wakikuomba pesa wanajiuza?
Acha kuwa na akili fupi ndugu yangu
kama pesa yako unaona anafaa kula mkeo basi acha kuomba namba za wanawake wengine navilevile mkeo tutampa pesa tu tukionana naye maeneo
 
Ukigeuka huku wanawake Kule wanawake hapa wanawake pale wanawake [emoji3061]
Tupumzisheni basi
What you don't get to do is believe in equality whilst simultaneously single-handedly blaming men

If you're going to blame men, you may as well just admit you think men are superior to women because women haven't got it in them to change anything themselves and need men to do it
 
[emoji23][emoji23] ndugu unafeli sana nina simu 5 hiyo Samsung ndo simu ya kuchat chat ushubwada na ndo namba ya michepuko so simu isikuumize kichwa kabisa leo nimekujibu na iphone kesho ntakujibu na tecno
Hayaa bwana ila hiyo simu ninayoo
 

we jamaa bwana mifano yako ovyo Kabisa.. sasa baba, mke na mtoto hiyo si familia hivyo nikitoa pesa hakuna shida.. sasa hela unampa mwanamke ni ndugu Yako? acha uzwazwa

nyie ndo wanaume maskini sana UNAONGA PAKUBWA HUKU WEWE UNALALA NJAA
 
Baby shem tunazisaka sana hizo hela, hela zinaombwa na zinatafutwa kwa mpangilio sio ovyo ovyo

Au nasema uongo?
uko more than sawa ila sasa hata kutugaia pia haiko hapo kwa hovyo hovyo shem

au unaonaje hapo
 
INATOSHA,


Mkatafute pesa sasa,


Tumewaelewa[emoji1545]


Tutalifanyia kazi.
Every woman who doesn’t get a competent man fans the flames of feminism, because they would rather be miserable in a career that gives them a sense of purpose than submit to a man they do not respect.
 
Ukiona hakuombi muoe haraka usimuache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…