mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
[emoji50][emoji50]Kuna mdada anaomba ,Mimi nikimuomba anasema uzinzi dhambi,Jana nimemwambia kweli ukitaka kula Hela yangu kubali kuliwa, mjini Cha Bure salamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji50][emoji50]Kuna mdada anaomba ,Mimi nikimuomba anasema uzinzi dhambi,Jana nimemwambia kweli ukitaka kula Hela yangu kubali kuliwa, mjini Cha Bure salamu
Weee mimi napenda na ela naomb kama kawaidaMwanamke ukiona anakuomba sana hela jua hajakupenda ila antaka apate tag kutoka kwako...
mwanamke anaekupenda kwa dhati hawezi kukuomba hela Kila mara kwa sababu zifuatazo.
1. Kutokana na upendo wake wa dhati kwako anaona aibu kukuomba hela hata kama anashida kiasi gani atatafuta namna nyingine ya kutatua shida yake.
2 .kutokana na upendo wake Wa dhati ataogopa kukuomba hela kwa kuhofia kukupoteza maana anajua inaweza kupelekea mwanaume kumuacha.
tofautisha kuomba na kuombaomba, kupenda na kupenda pendaWeee mimi napenda na ela naomb kama kawaida
Kitu cha nyokooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah kweli kabisa nahisi maisha yamekuwa magumu sana kwa watoto wa kike na ni both wakishua na hawa wenzetu….kama juzi nimeamka asubuh nimekutana na wanawake 7 wote wanaomba pesa isiyozidi 10k[emoji23][emoji23] ukiona text imeanza na my tu kimbia fasta usijibu au utaskia my nikwambie kitu[emoji23][emoji23]
Wiki iliyopita tu kuna mmoja nilimwona DP ya WhatsApp, nikamfuata messenger. Mazungumzo yalikuwa ifuatavyo:-Ukimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
Anakwambia kabisa yaani hapa nina njaa kabisa sijala leo na bando linakata niunge tuendelee kuchatWiki iliyopita tu kuna mmoja nilimwona DP ya WhatsApp, nikamfuata messenger. Mazungumzo yalikuwa ifuatavyo:-
Mimi : Hi
Yeye : Hi
Mimi : Unakata wapi?
Yeye : Kimara.
Mimi : Mwemyeji wa wapi?
Yeye : S.....a
Mimi : Unaumbo zuri na vidole vizuri
Yeye : Mirushir buku mbili in kazi nayo Ili tuweze kuchati. zaidi
Mimi : Nikarudisha majeshi nyuma!
My brother haujambo??Dah kweli kabisa nahisi maisha yamekuwa magumu sana kwa watoto wa kike na ni both wakishua na hawa wenzetu….kama juzi nimeamka asubuh nimekutana na wanawake 7 wote wanaomba pesa isiyozidi 10k[emoji23][emoji23] ukiona text imeanza na my tu kimbia fasta usijibu au utaskia my nikwambie kitu[emoji23][emoji23]
Usione vyaeleaWiki iliyopita tu kuna mmoja nilimwona DP ya WhatsApp, nikamfuata messenger. Mazungumzo yalikuwa ifuatavyo:-
Mimi : Hi
Yeye : Hi
Mimi : Unakata wapi?
Yeye : Kimara.
Mimi : Mwemyeji wa wapi?
Yeye : S.....a
Mimi : Unaumbo zuri na vidole vizuri
Yeye : Mirushir buku mbili in kazi nayo Ili tuweze kuchati. zaidi
Mimi : Nikarudisha majeshi nyuma!
Kweli kabisa!Usione vyaelea
Dah kweli kabisa nahisi maisha yamekuwa magumu sana kwa watoto wa kike na ni both wakishua na hawa wenzetu….kama juzi nimeamka asubuh nimekutana na wanawake 7 wote wanaomba pesa isiyozidi 10k[emoji23][emoji23] ukiona text imeanza na my tu kimbia fasta usijibu au utaskia my nikwambie kitu[emoji23][emoji23]