Ninyi wadada wa penda pesa huu ni ujumbe wenu kabisa

Nabii isaya 4

1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”


Sasa kadiri siku zinavyo kwenda maisha yanazidi kuwa magumu mpaka sasa hivi kuna wanaume wanaona kuoa ni shida tu
Na wanaume wengi kwasababu ya ugumu wa maisha wengi wana kuwa mashoga na wengine majambazi yaani ni shida alafu wewe una kuja kumpata mwanaume mtoto wawatu ana kulilia una mpiga chini eti kisa hana pesa
Ila mnashindwa kutambuwa kuwa aliye na akili akiwa na aliye na nguvu ni lazima wafanye kitu cha maana ukiona mwanaume wako hana pesa lakini ana pambana my dada don't leave huyo mwanaume
Shauri yenu endeleani
 
Weee mimi napenda na ela naomb kama kawaida
 
Waombe pesa ila wawe na tako nasisitiza hana tako na tumbo la mazoezi ukitoa pesa utakuwa umelogwa mkuu, wanawake wasio na tako akiomba pesa piga Kwa kukopa then tembea usilipe
 
Dah kweli kabisa nahisi maisha yamekuwa magumu sana kwa watoto wa kike na ni both wakishua na hawa wenzetu….kama juzi nimeamka asubuh nimekutana na wanawake 7 wote wanaomba pesa isiyozidi 10k[emoji23][emoji23] ukiona text imeanza na my tu kimbia fasta usijibu au utaskia my nikwambie kitu[emoji23][emoji23]
 
Kitu cha nyokooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wiki iliyopita tu kuna mmoja nilimwona DP ya WhatsApp, nikamfuata messenger. Mazungumzo yalikuwa ifuatavyo:-
Mimi : Hi
Yeye : Hi
Mimi : Unakata wapi?
Yeye : Kimara.
Mimi : Mwemyeji wa wapi?
Yeye : S.....a
Mimi : Unaumbo zuri na vidole vizuri
Yeye : Mirushir buku mbili in kazi nayo Ili tuweze kuchati. zaidi
Mimi : Nikarudisha majeshi nyuma!
 
Anakwambia kabisa yaani hapa nina njaa kabisa sijala leo na bando linakata niunge tuendelee kuchat
 
My brother haujambo??

Nipo na shida ya sh.5000
 
Usione vyaelea
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Waombe pesa ila wawe na tako nasisitiza hana tako na tumbo la mazoezi ukitoa pesa utakuwa umelogwa mkuu, wanawake wasio na tako akiomba pesa piga Kwa kukopa then tembea usilipe

eeh Mkuu una maana Gani? fafanua
 
Kuna mdada anaomba ,Mimi nikimuomba anasema uzinzi dhambi,Jana nimemwambia kweli ukitaka kula Hela yangu kubali kuliwa, mjini Cha Bure salamu

[emoji1787][emoji1787] wenyewe wanaamini mwanaume anapesa muda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…