Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Wee ushaona wapi methali za wahenga zinabadilika?,badilisheni Hizo syllabus ila nahau na methali zitabaki vilevile
Methal nyingi zishakua outdated mbaya..

  • pole pole ndio mwendo :UTAUMIA
  • aliyejuu mngoje chini :UTANGOJA SANA
  • Haraka haraka haina baraka :😀DEADLINE
 
Back
Top Bottom