Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Na
Mwanaume anamtunza Mtu anayempenda,Ukiona hupewi Hela ujue Kuna anayekula Hela zake
hi akili yenu JAKIJINGA ndio itawafanya muwe wajinga kila siku
Hamtakaa kuisha mtaani ma single mother kwakua AKILI HAKUNA
Mfano nina ajilia
Sina majukumu
Majukumu yangu ni wewe kwanini nisikupe
Kigezo cha kupewa hela ndio kikubwa kwenu
UJINGA TU
 
Very good, Excellent [emoji7]!!za kupewa Zina vitamins na protein zinajenga mwili

Zinatoa harara na miwasho pia kwenye ngozi mwili unakua softiiiiii.

Tunawaombea waendelee kuzipata watugawie
 
Faida za kulipa kodi:
1. Unakua baba mwenye nyumba
2. Unapunguza gharama ya hotel
3. Unapunguza gharama ya chakula na vinywaji (utakua unapikiwa na vinywaji unaagiza liquor store)
4. Unapunguza gharama ya hela ya nauli/mafuta

Akili kumkichwa
Hahahahaha
 
Kwanza nipende kumshukuru Jemedali Rais Samia kwa kuniwezesha kusoma hii comment!
Pili hilo wigi ni la aluminium😂😂😂😂😂
Hahah nimecheka kwamba tunaishukuru CCM kwa yote.

kwanza kabisa hilo ndio
La bei rahisi kuliko yote tunayovaa sisi wananchi wa kawaida tusio watoto wa Mama kizimkazi na hapa ipo 🤣
 
Na

hi akili yenu JAKIJINGA ndio itawafanya muwe wajinga kila siku
Hamtakaa kuisha mtaani ma single mother kwakua AKILI HAKUNA
Mfano nina ajilia
Sina majukumu
Majukumu yangu ni wewe kwanini nisikupe
Kigezo cha kupewa hela ndio kikubwa kwenu
UJINGA TU
Aaaah we jamaa punguza ghadhabu tuzungumze taratibu... sisi ndio wasaidizi wenu lazima unapotafuta Hela ukishatoa fungu ka kumi la Muumba,Ile inayobaki una kata Tena asilimia 25 ya baby hapo tunaenda sawa😌
 
Ety tuzungumze taratibu....
Unaona jamaa kama yupo chap et.
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom