Wanawake Punguzeni kutembea haraka mnakosa Mabwana wa maana

πŸ˜ƒπŸ˜ƒduh had chenji dukani Huwa nasahau Yani nikihudumiwa tu sipo
Nasahau kudai chenji kwenye daladala konda alisema subir nikifika sipo Yani mbio mbio mdawote πŸ˜ƒ

Ngoja nianze kutembea taratibu nisije Kosa mchumba
 
Si ungepiga miluzi kumuita mkuu??

Kwanza hiyo gari ya ni IST ama?
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…