Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Dah nimelia sana ðŸ˜ðŸ¤£ðŸ¤£ Sitaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah nimelia sana ðŸ˜ðŸ¤£ðŸ¤£ Sitaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jua kali hivi niache kutembea harakaharaka linichome kisa nataka mume [emoji1787][emoji1787]
Huko huko kazini au kanisani 😂Eeh sasa unapanda bodaboda toka kazini inakushushia nyumban utakutana na sisi lini
lia uchungu wote uisheDah nimelia sana ðŸ˜
Si ungepiga miluzi kumuita mkuu??Wanawake ifike mahali tembeeni pole pole sometime spidi zenu zinawakosesha Wanaume wa kuwaowa kama huyu mwenzenu
Mwezi uliopita naelekea nyumbani nikapitia njia ya Ferry ile nangia kwenye kivuko nikapaki Gari nikashuka, ile kushuka tu nikamuona binti mmoja ambae alinivutia sana na yeye akawa ananiangalia sna ila kutokana na adabu kwenda kumuongelesha mbele za watu nikaona aibu nikasema ngoja mda wakushuka nitajaribu kumfuatilia japo nlikuwa na Gari nikasema sawa cz ilikuwa mbele ila bado tukawa tunatazamana tu
Ile kushuka tu nikaona watu wa mbele ya kivuko wanakimbia sijui wanakimbilia wapi , na yeye akaunga spidi ikabidi nimfuatilie na gari nikakwama, nimeshuka najaribu kumkimbilia ile spidi nilikwama maana Gari niliiacha huku juu ningeibiwa or ingekamatwa ila yule Binti kakosa Bonge la bwana ila kila la heri kwake huenda mda huu tungekuwa tunapeleka barua kwao kama Tabia zake zingenifurahisha ila wanawake wapo wengi no way
Punguzeni mwendo shauri yenu
HahahaWanawake ifike mahali tembeeni pole pole sometime spidi zenu zinawakosesha Wanaume wa kuwaowa kama huyu mwenzenu
Mwezi uliopita naelekea nyumbani nikapitia njia ya Ferry ile nangia kwenye kivuko nikapaki Gari nikashuka, ile kushuka tu nikamuona binti mmoja ambae alinivutia sana na yeye akawa ananiangalia sna ila kutokana na adabu kwenda kumuongelesha mbele za watu nikaona aibu nikasema ngoja mda wakushuka nitajaribu kumfuatilia japo nlikuwa na Gari nikasema sawa cz ilikuwa mbele ila bado tukawa tunatazamana tu
Ile kushuka tu nikaona watu wa mbele ya kivuko wanakimbia sijui wanakimbilia wapi , na yeye akaunga spidi ikabidi nimfuatilie na gari nikakwama, nimeshuka najaribu kumkimbilia ile spidi nilikwama maana Gari niliiacha huku juu ningeibiwa or ingekamatwa ila yule Binti kakosa Bonge la bwana ila kila la heri kwake huenda mda huu tungekuwa tunapeleka barua kwao kama Tabia zake zingenifurahisha ila wanawake wapo wengi no way
Punguzeni mwendo shauri yenu
lia uchungu wote uishe
Si ungepiga miluzi kumuita mkuu??
Kwanza hiyo gari ya ni IST ama?
😆😂😂Hapo mada ni GARI