Wanawake Punguzeni kutembea haraka mnakosa Mabwana wa maana

Mwanamke ana natural sensors za hatari. Huyo alishakujua huna lolote na pia alishajua thamani la Gari lako na la mwaka gani.

Nyauww
 
Wewe ni jangili tu mbugani[emoji16]
Ulikosa ujasiri kumfuata bila gari maana gari ndo silaha yako.
Kwamba ng'ambo ya pili mngekuwa peke yenu hao watu wote walioshushwa na kivuko mngewafukuza ama??
Be gentleman, acha kuogopa watu km uko serious na jambo.

Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
 
Haya bwana tushajua ulipanda hedge na kwenda Dubai kununua matairi na tv kubwa.

Thed dwellers bana
 
Ukiona binti/mdada anatembea haraka haraka ujue ana upwiru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…