Wanawake Punguzeni kutembea haraka mnakosa Mabwana wa maana

Wanawake Punguzeni kutembea haraka mnakosa Mabwana wa maana

Eeh tuna haraka mnoo
Kumbe mpaka watu wa Dubai mnatupenda 😆😆😆 ukishuka tena na tairi zingine itabidi unikimbize
Mi wadada kama hivi ndo ugonjwa wangu..

Kama kuna siku nimeingia tanzania kutokea dubai nilikuwa na matairi ya gari ndogo 4 na tv kubwa,

wakati nashuka kwenye ndege nilikutana na mdada aisee alikua very fast hadi nikashangaa.

Nilitokea kumkubali tuu huwa napenda sana wadada kama hawa hana mda wa kupoteza
 
Wanawake ifike mahali tembeeni pole pole sometime spidi zenu zinawakosesha Wanaume wa kuwaowa kama huyu mwenzenu

Mwezi uliopita naelekea nyumbani nikapitia njia ya Ferry ile nangia kwenye kivuko nikapaki Gari nikashuka, ile kushuka tu nikamuona binti mmoja ambae alinivutia sana na yeye akawa ananiangalia sna ila kutokana na adabu kwenda kumuongelesha mbele za watu nikaona aibu nikasema ngoja mda wakushuka nitajaribu kumfuatilia japo nlikuwa na Gari nikasema sawa cz ilikuwa mbele ila bado tukawa tunatazamana tu

Ile kushuka tu nikaona watu wa mbele ya kivuko wanakimbia sijui wanakimbilia wapi , na yeye akaunga spidi ikabidi nimfuatilie na gari nikakwama, nimeshuka najaribu kumkimbilia ile spidi nilikwama maana Gari niliiacha huku juu ningeibiwa or ingekamatwa ila yule Binti kakosa Bonge la bwana ila kila la heri kwake huenda mda huu tungekuwa tunapeleka barua kwao kama Tabia zake zingenifurahisha ila wanawake wapo wengi no way

Punguzeni mwendo shauri yenu
Kaazi kwelikweli...
 
Sio ajali kazini ni uzembe huo, kwanza unaombaje namba kwa pisi kiholela hivyo. 😃😃😃😃

popote kambi huwezi jua wapi mkeka utatick, omba namba popote penye upenyo😀
popote kambi huwezi jua wapi mkeka utatick, omba namba popote penye upenyo😀
Ukipigwa ndiyo uanaume huo
 
Back
Top Bottom