ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Sasa unawahi nyumbani haraka haraka kwanini!??Hapana
Mabwana waoaji tupo nje ya nyumba yenu ww unawahi hme?
kama unawahi namba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unawahi nyumbani haraka haraka kwanini!??Hapana
Nimeomba wapi miheZingekuwa hazipo mngekuwa mnadai talaka?
Utasema?Nimeomba wapi mihe
sijaolewa ila ngoj nijaribuUtasema?
Unataka skunky au bush weed. 😃😃😃Hebu nipasie jani nifanye ibada
#:$&-$-3:-_+ GARI
$:-$:$-$-4-4-$+ GARI
$::39#?;✓✓%✓™ GARI
Kama huna D ya Civics hizi lugha huelewi mkuu Hahah
Ntaanza kutembea taratibuuSasa unawahi nyumbani haraka haraka kwanini!??
Mabwana waoaji tupo nje ya nyumba yenu ww unawahi hme?
kama unawahi namba
Basi tu sijui mapepo😅😅😅 mana mapepo nayo yako ya aina nyingiUnaharakia nini sasa au mwaliko 😂
Yani mimi mwanamke akitaka aniweze njiani awe na haraka, hata nikimsimamisha aendelee kutembea na haraka zake huwa nampotezea.
Safi sana sasa hivi tunaleta mahaliNtaanza kutembea taratibuu
Si utak ndoa unataka uolewe yanini?sijaolewa ila ngoj nijaribu
KwaniniHapana
Mi nilivoona vile nikajua kabisa kumbe wataalamu wenzangu wapo bana ahahah kuna mwingine ngoja atakuja sasa hiviHahahaha mkuu, hapa kama huna D hzo ni ngumu kutoa code hii
Ishini nasi kwa akili ohooooooo
Bush weed hii ni kwa sisi marasi kwenye ibada inatufaaUnataka skunky au bush weed. 😃😃😃
Itabidi tuyakemee yatoke yatakupishanisha na mwenza wako😅Basi tu sijui mapepo😅😅😅 mana mapepo nayo yako ya aina nyingi
naona una quote maneno ya dadapoa hukooo,,m nmesema wapiSi utak ndoa unataka uolewe yanini?