Wanawake Punguzeni kutembea haraka mnakosa Mabwana wa maana

Wanawake Punguzeni kutembea haraka mnakosa Mabwana wa maana

Wanawake ifike mahali tembeeni pole pole sometime spidi zenu zinawakosesha Wanaume wa kuwaowa kama huyu mwenzenu

Mwezi uliopita naelekea nyumbani nikapitia njia ya Ferry ile nangia kwenye kivuko nikapaki Gari nikashuka, ile kushuka tu nikamuona binti mmoja ambae alinivutia sana na yeye akawa ananiangalia sna ila kutokana na adabu kwenda kumuongelesha mbele za watu nikaona aibu nikasema ngoja mda wakushuka nitajaribu kumfuatilia japo nlikuwa na Gari nikasema sawa cz ilikuwa mbele ila bado tukawa tunatazamana tu

Ile kushuka tu nikaona watu wa mbele ya kivuko wanakimbia sijui wanakimbilia wapi , na yeye akaunga spidi ikabidi nimfuatilie na gari nikakwama, nimeshuka najaribu kumkimbilia ile spidi nilikwama maana Gari niliiacha huku juu ningeibiwa or ingekamatwa ila yule Binti kakosa Bonge la bwana ila kila la heri kwake huenda mda huu tungekuwa tunapeleka barua kwao kama Tabia zake zingenifurahisha ila wanawake wapo wengi no way

Punguzeni mwendo shauri yenu
Sawa sawa
 
Binti aliona sura yako kama kibaka, akaona ajiongeze maana alihisi wewe utamkaba ubebe mkoba, ile kukuangalia alikua anachukua tahadhari ya usalama wake
 
Binti aliona sura yako kama kibaka, akaona ajiongeze maana alihisi wewe utamkaba ubebe mkoba, ile kukuangalia alikua anachukua tahadhari ya usalama wake
NIMEONA COMENT YAKO IMENIFURAHISHA NIKAONA NIPIGE PICHA YANGU UKUTANI HPA KARIBU SANA KIGAMBONI MKUUU HUKU INAJULIKANA WAMEJENGA AKINA NANI
IMG_20240704_212437_877.jpg
 
WAkati Primary sikuwahi kuwahi hizo namba 😆😆 ila huku ukubwani nna haraka jamani
Kama Day breaker wanakimbia jua
Unaharakia nini sasa au mwaliko 😂

Yani mimi mwanamke akitaka aniweze njiani awe na haraka, hata nikimsimamisha aendelee kutembea na haraka zake huwa nampotezea.
 
Back
Top Bottom