Wanawake punguzeni masharti ili muolewe

Wanawake punguzeni masharti ili muolewe

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Habari za boxing day wana JF. Mwaka ndio huo unaelekea kupinduka na inshallah Mwenyenzi Mungu atujaalie wote neema tuvuke salama salimini!

Vp kwa wale dada zetu ambao bado wanaendelea kukataa wanaume na kusubiri Mr. Right guy, mwaka unaisha bado upo single unazidi kuzeekea nyumbani na kugombania chakula na wadogo zako. Hebu jitahidini kupunguza mashauzi na kujifanya mna class sana kiasi kwamba mnataka cjui matolu handsome dark na mwenye pesa.

Badilikenii dada zetu usikubali kubaki nyuma ukitongozwa usikatae kubali hata utoe nuksi na mikosi kidogo. Utaendelea kukataa wanaume mpaka uwe kikongwe?

Wengine mnajazana kwenye maombi kutafuta wenza ila ukitongozwa unakataa eti hunifai, shauri zenu wengi mmeshaanza kuingia kwenye ushangazi na bado mpo single. Muda ni mwalimu mzuri.

images (3)_1.jpeg
 
Inshu kubwa watu tumekua waongowaongo Sanaa mpaka tunaogopana .

Kama halijakukuta wewe, basi umelisikia au umeliona Kwa Jirani.

Kwa Angle Fulani, unaweza ona Hawa Wanawake wachaguzi ni wajinga.

Ila ukitukia Tena Kwa kuzingatia uzoefu wa wanaume waoaji, unaona Tena walikua sahihi KUTOJIRAHISISHA KISHA NDOA

Kosa lao hapa ,nihapo kwenye kuchaguaa kisa wanataka Handsome, Mweupe, mrefuuu ana kazi na Pesa !!!.

Dear Dadaz hiyo mentality muiache, Piga Goti Mungu akulete Mume na Uzingatie kua Mwanaume ndio Muoaji.

Lakini Mwisho niseme, Wanaume waoaji wawe Serious pia
 
Habari za boxing day wana JF. Mwaka ndio huo unaelekea kupinduka na inshallah Mwenyenzi Mungu atujaalie wote neema tuvuke salama salimini!
Vp kwa wale dada zetu ambao bado wanaendelea kukataa wanaume na kusubiri Mr. Right guy, mwaka unaisha bado upo single unazidi kuzeekea nyumbani na kugombania chakula na wadogo zako. Hebu jitahidini kupunguza mashauzi na kujifanya mna class sana kiasi kwamba mnataka cjui matolu handsome dark na mwenye pesa. Badilikenii dada zetu usikubali kubaki nyuma ukitongozwa usikatae kubali hata utoe nuksi na mikosi kidogo. Utaendelea kukataa wanaume mpaka uwe kikongwe? Wengine mnajazana kwenye maombi kutafuta wenza ila ukitongozwa unakataa eti hunifai, shauri zenu wengi mmeshaanza kuingia kwenye ushangazi na bado mpo single. Muda ni mwalimu mzuri.
View attachment 2458570

Nacho waomba vijana na wasio vijana aka watuwazima.
Ni kutuliza moyo wako kuliko kushindana na mapenzi kifupi yatakuja yenyewe. mbona sisi tumepata tulizo umri umekwenda !

Mtangulize mungu wewe mkristo au muislamu
 
Inshu kubwa watu tumekua waongowaongo Sanaa mpaka tunaogopana .

Kama halijakukuta wewe, basi umelisikia au umeliona Kwa Jirani.

Kwa Angle Fulani, unaweza ona Hawa Wanawake wachaguzi ni wajinga.

Ila ukitukia Tena Kwa kuzingatia uzoefu wa wanaume waoaji, unaona Tena walikua sahihi KUTOJIRAHISISHA KISHA NDOA

Kosa lao hapa ,nihapo kwenye kuchaguaa kisa wanataka Handsome, Mweupe, mrefuuu ana kazi na Pesa !!!.

Dear Dadaz hiyo mentality muiache, Piga Goti Mungu akulete Mume na Uzingatie kua Mwanaume ndio Muoaji.

Lakini Mwisho niseme, Wanaume waoaji wawe Serious pia
Amen
 
Kila kitu ni muda. Ukifika muda sahihi, atampata huyo Mr Right guy. They don't married to time. Acha kuwaongezea unnecessary pressure
Huwezi pata Mr right guy yupo single labda amwache mkewe
 
Back
Top Bottom