Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Habari za boxing day wana JF. Mwaka ndio huo unaelekea kupinduka na inshallah Mwenyenzi Mungu atujaalie wote neema tuvuke salama salimini!
Vp kwa wale dada zetu ambao bado wanaendelea kukataa wanaume na kusubiri Mr. Right guy, mwaka unaisha bado upo single unazidi kuzeekea nyumbani na kugombania chakula na wadogo zako. Hebu jitahidini kupunguza mashauzi na kujifanya mna class sana kiasi kwamba mnataka cjui matolu handsome dark na mwenye pesa.
Badilikenii dada zetu usikubali kubaki nyuma ukitongozwa usikatae kubali hata utoe nuksi na mikosi kidogo. Utaendelea kukataa wanaume mpaka uwe kikongwe?
Wengine mnajazana kwenye maombi kutafuta wenza ila ukitongozwa unakataa eti hunifai, shauri zenu wengi mmeshaanza kuingia kwenye ushangazi na bado mpo single. Muda ni mwalimu mzuri.