Wanawake sasa wanavaa vitaiti vya kuvaa ndani ya nguo

Kuna wale wafanya mazoezi barabarani huku mbunye zao zimejichora kabisa.wanawake ninyi badilikeni.
Hawa wanawake ni kwenda peponi kabisa maana wanatuoa bonge la burudani alafu ukute na msambwanda una vibrate full burudani
 
Afu ujue wasichana wa tanzania ni washamba sana. Unamkuta binti kavaa pyjama mchana wa saa nane katikati ya mtaa wa Kongo afu anajiona mjanja. Ama kweli ushamba ni mzigo wa kuni. Inasikitisha sana.
 
Mbona mie sioni tatizo hapo? Wewe si tizama tu ufurahishe macho? kinachokuudhi wewe hapo ni nini hasa?
 
Ndio raha yetu hiyo wengine, napiga ugali kuku huku nikiangalia demu anapita na chupi mbele yangu. Raha tupu.

Karibu Kisuma Bar, magomeni usalama ujilie raha.


Ni mwendo wa kuhudumiwa na wavaa vichupi tu,pu
 
Kujidhalilisha tu,

Wengine muwe mnawaambia hawapendezi wanamaumbo mabaya hatari yaani hadi aibu unaona mtazamaji,

Wavae lkn mtu ajiangalie na umbo lake anafit au vipi,mtu ana li tumbo,viguu kama fito wanachekesha na kujidhalilisha.
Akiomba ofa ya bia, unampa maji ya bombani, Wana vitako kama ndimu vile. Pumbavu zao
 
Alafu ni vikahaba ukipiga hapo hukosi gono, mtu mwenye kazi ya kufanya hawezi kuvaa hivyo ukiona kavaa hivyo ujue anaishi kwa kutumia ujuzi katikati ya miguu
Perfect, 100%
 
Kuna hv vifupi hapo nyuma kidogo vilikuwa vinavaliwa ndani ya sketi tena wakawa wako makini visionekane lakin siku hz vinavaliwa kwa nje
Ikifika wakati wameanza kutembea uchi mitaani mchana, nafikiri hapo huenda uvumilivu wa Mungu utafika mwisho......
 
Jana nimekutana nae anatoka kufanya mazoezi..dah! niliona aibu!
Yaani tumbua lote limejichora nje ya tight,halafu kwa akili ya haraka niligundua yule bibie anafahamu vizuri maungo yake yalivyo na pengine alifanya vile ili watu waone. Hatariii!
weyewe wanaita kuongeza mvuto.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…