Wanawake shida yenu nini mpaka mkiona mtu ana gari mnababaika?

Na ubunifu huo lakini bado unaishi kwa shemeji yako unagombania remote na kina junia[emoji2957]
 
Mi ndio na bahati mbaya kila nikienda bar nikataka kung'oa mali mara nyingi zinaniambia twende tukaongelee kwenye gari yako .Nabaki kusema tu kimoyo moyo hiiii hiiii.Naishia kuzuga zuga parking mpaka mali zinapepea.
Acha bia kwanza tafuta Passo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mko wachache sana the rest wote hata ukitupia picha tu mtandaoni ukiwa pembeni ya gari anaamini ni yako na unaweza kumbandua kirahusi tu raha yake akavimbe kwa wenzie kwamba kaliwa na jamaa anadrive. Yani nyie mnaakili za kitoto sana.

Hata wewe pamoja na kwamba una gari lakini utakuta unakuja kuachie mbunye kwa mtu atakaye kuongeza lita moja ya mafuta kwa bili yake au utaliwa mbunye na mwenye pikipiki aina ya baja (Ndivyo mlivyo usibishe)
 
Ulikutana na vidada visivyojielewa na vilikua kwenye biashara....mwanamke anaejielewa hawez kujigonga kwa mwanaume eti kisa gari sijui kitimoto never.
 
Unapapatikia gari na si yako alafu? Kusema utanufaika na lolote hakuna labda ni hizo lifti tu na zinakuongezea nini? Hapa ndio linapokuja suala la binadamu kutofautiana kila mmoja ana namna yake anavyochukulia mambo kwenye maisha haya.
Ni kweli gari haukuwa yangu na sijaficha hilo. Kama wenzio walikubali kuvua nguo wote watatu wakiwa chumba kimoja basi wewe ndiyo utaliwa hadi juu ya pikipiki.

Tena nyie mnaobisha bisha kwa nguvu ndiyo wale waleeee wa kucha ndefu, kuchambia tishu, lipstick mpaka mashavuni, kuchonga nyusi mpaka zinaisha zote(Aisee mtafika mmechoka sana kunako uzima)
 
Wewe hujaelewa nilichomaanisha soma vzuri. Nmesemea MWANAMKE anaehangaika na wanaume kisa wako na magari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…