Wanawake shida yenu nini mpaka mkiona mtu ana gari mnababaika?

Kapata emotional pain
 
Uzuri najijua mimi ni mshamba sana. Huwa sifichagi. Na kila mtu anao ushamba wake piga ua..(Ukiwa mjanja wa kila kitu utaingia kwenye tundu moja bovu sana na hapo ndipo wewe utakapoonekana mshamba kuliko wale ambao wewe uliwaona ni washamba)
To admit that you're suck is the first step to leave suckers.
There's an embicile person in embicile land who don't know that's an embicile person
 
Usikute na wewe ulitoka Kapa happy Wala hukujifunza kutafuta hela kea bidii ununue ndinga Kali zaidi ya hio Harrier ya mshikaji ili baadae uje ujilie mbususu kirahisi rahisi.

Tafuta pesa kijana acha kujimwambafai na Mali za wenzio.
 
Gari ni kipimo cha ukwasi. Mafuta, service, purukushani za barabarani ie trafics n.k
Ukiwa nalo lazima hela huwa zinakupitia pitia. Wanawake wanapenda pesa. Hao malay uliokuwa nao walitagert pesa yako. Kipimo walichotumia ni gari, bia na kitimoto.
🤣🤣
 
Okay me kiukweli sishtuki na gari aina yoyote ile huwa nashtuka na mtu mwenyewe sijui kwa vile ni vitu nimekuaa naviona so unaona ni kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…