Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Kapata emotional painNdugu yangu unaonekana una hasira sana na maisha pia unaonekana hata baiskeli tu hujui kuendesha.
Wenzio kinachotuokoa tunajua kuendesha vyombo mbali mbali vya usafiri hata kama hatuna (mimi mpaka treni naendesha kasoro meli na ndege tu) hivyo ikitokea chansi ya kizembezembe kama hiyo huwa tunaitumia Effectively.