Wanawake siku hizi mnajipaka nini husoni uso unakuwa kama yai? Au kama unataka kumwagika?

Wanawake siku hizi mnajipaka nini husoni uso unakuwa kama yai? Au kama unataka kumwagika?

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Hivi wanawake mnajua kwamba mkijipaka hayo mnayojipaka kupitiliza mnapoteza kabisa maana.

Yani ni mayai sijui mnajimwagia..

Halafu unaposimama mbele ya watu kuhutubia. Mambo ya msingi kabisa kitaifa na umejipodoa yani uso umegeuka YAI...unafikiri unasikilizwa?

Hivi nyie wanawake mbona hamna akili.
 
nikaja mbio kucomment nikijua kuna picha
Mkuu yani mtu anakuwa kama uso ni yai.. unapoteza maana kabisa..
images.jpeg


Yna mtu anakuwa yuko hivyo.
Hii nchi mtauzwa ninyi wapuuzi nyinyi...
 
Back
Top Bottom